Atclkwanza
JF-Expert Member
- Dec 20, 2015
- 823
- 998
Wadau nimekuwa nikifuatilia kitambulisho changu cha uraia tangu mwaka jana, Kila siku umekuwa danadana.
Kilichonifanya nilete Uzi huu no uzembe wa mamlaka pale unapokatika umeme kushindwa kutimiza majukumu yao kwa kisingizio cha kukatika umeme wakati wanayo standby generator. Nilipouliza kwanini hawajawasha generator nikajibiwa ni mbovu.
Kweli office nyeti kama NIDA wameshindwa kutengeneza generator, hii ni aibu na uzembe wa hali ya juu.