NIDA inatarajia kuanzisha vitambulisho vya Taifa vya Smartcard

Kwikwikwi

Ova
Badala ya kutueleza kwa nini zoezi hili halijakamilika anaeleza namna ya kuongeza majukumu ya NIDA zaidi. Hivi hakukuwa na Mwenyekiti wa kikao wa kumwambia boss huyu wa NIDA "Shut up au Kaa kimyaa" ?. Hii Tanzania wasomi wetu wanatupeleka wapi na hotuba, mipasho hii isiyo na vitendo vyenye matokeo chanya!?
 
Hapo wanataka kupiga pesa tu, wamalize kutoa hivi vya kawaida kwanza
 
Hahaha

Point mkuu

Ova
 
Kwanini hamkulifukiria hili tangu mwanzoni.

It was so obvious na leo mnataka muonekane wa maana.

Upuuzi tu, fanyeni kazi yenu mliopaswa kuifanya tangu mwanzo bila kutusumbuana makelele yasiyo na tija.
Hii nchi inasikitisha sana. kwani hawakujua umuhimu wa hizi smard IDs? Watu walipiga kelele...leo hii tunaambiwa kwamba ni ubunifu wanakuja nao. Yaani plans za mwafrika zinaangalia maslahi ya uchaguzi na siasa tuu.

Viongozi na watendaji wa taifa letu wanatuangusha mno.
 
Ndio maana wametoa Taarifa kwa Lugha ya nchi nyingine,Nadhani hili halituhusu Wa Tz.
 
NIDA waache utapeli wa kijinga.
 
hili ni sound. Wengine tumekaa na namba bila vitambulisho kwa miaka na miaka.
 
Mwaka wa tatu huu sijapata Kadi ya NIDA kila nikifuatilia naambiwa bado.
 
It sounds good but do we need all these when we don't have reliable
electricity, sufficient clean water, ex.And what happens when you loose your id?
 
Mh.Moderator....
Kwa heshima na taadhima nakuomba saana huu uzi au mada hii ifute au iondoe kabisa ktk Jf,pia mletaji na Mkuu wa Nida ningependa waelewe kwamba sisi pia tumekwenda shule, tukasoma na tukaelewa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hawajamaliza hivi wanakuja na hangover nyingine
 
People should know that the original concept was to have NIDA smart card. Politicians waka ingia and things have never been okay since then.
 
Ninatumaini hii itawasaidia Mamlaka ya kutoa passport kuacha kudai umlete aliyeshuhudia baba yako akizaliwa - wakati wewe mwombaji una miaka 60!
 
Taarifa za wateja baadhi zimekosewa. Boresheni kwanza taarifa za awali na mtoe nafasi kwa wenye malalamiko ilia kuwa na data zinazofanana.
 
Hah ha haa, Tanzania ni nchi ya ajabu kabisa. Hivi vilivyopo zaidi ya silimia 50 wameishia kupata namba tu, kadi wameshasahau.

Eti ndio mara wanakuja na smart ..... Nafikiri wamelipenda neno SMART.......
Tusubiri bunge la wnanchi 2025, lillilopo ni la vioja /VIMEMO by Steve M) tu ndilo linalozaa mambo yote haya na hawatauliza chochote kuhusu upatikanaji wa kadi za vitambulisho kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…