NIDA inatarajia kuanzisha vitambulisho vya Taifa vya Smartcard

Hakuna mtu anazuia mtu kula.Wale ila wafanye kazi ya kuonekana hasa kila mwananchi aone
Hilo eneo la integration walifanye upesi kuunga idara zote muhimu zinazohudumia wananchi zinazohitaji utambulisho

Kuna wengi sana vitambulisho imekuwa hadithi tangu waanze kuimba mpaka leo hawajapata halafu wanataka kutuaminisha mengine

Hawawezi kitu hao na kula ni wajibu wao
 
Hapo walikuwa wanampa nani taarifa kwa Kingereza!?
Waandishi wa habari wa kingereza ndio walienda zitafuta
Kuna wengi sana vitambulisho imekuwa hadithi tangu waanze kuimba mpaka leo hawajapata halafu wanataka kutuaminisha mengine

Hawawezi kitu hao na kula ni wajibu wao
Yawezekana hao ambao bado labda watapewa hivyo vitambulisho smartcard wawe na subira
 
wazo zuri saaaana. ila sasa utendaji wake utakua kituko tu
 
Ukitoa rushwa unapatà siku ya pili, useless people.
Yaani hao NiDA na Immigration ni mboyoyo kinoma.
Unaenda badilisha passport kutoka analogy kwenda digital bado unahitaji kitambulisho cha nida ?
Sasa hii passport niliyonayo niliipataje?
Pathetic people, Pathetic service, Pathetic system.
Kazi ni rushwa tu , hayana hata aibu halfu jumapili eti yanaenda Kusali, munasali nini mnadhulumu haki za watu.
 
Waanze kwanza na mfumo wa kuonesha kama kitambulisho cha sasa kimetoka au la. Huu ni mwaka wa nne sijapata kitambulisho.

Watu wa Mara tumesahaulika sana.
 
NIDA ya hovyo. Hata hiki kitambulisho cha sasa wameshindwa kabisa itakuwa smart ID. Labda wanaota.
 
You can NOT fulfill the one you have in the slow system! Then you trying to full all of Tanzanians that you upgrading to smartcard!! What a hell!!

Serikali za mitaa vitambulisho rundown vinarundikana wenyewe hawajulikani myu akija ofisini kwenu longolongo tuu!!
 
Kuna
kuna harufu ya upigaji
 
Wanaanzisha vingine tena , watupe kwanza vitambulisho maana wengi wao tuna namba tu na ni mwaka wa pili sasa.
Kama wameamua hivo waboleshe huduma zao
 
Hata nchi nyingi zilizoendelea hakuna kitu kama hiki! Hawashindwi kufanya hivyo bali kunakuwa na drawbacks nyingi al least kwa hatua ya technolojia ya sasa. Hawa wanatafuta namna ya kupiga tu!
 
Kula kwa urefu wa kamba

Kuna mtu huko amekaa akawaza, akaja na hio idea,, sasa wanasubiri pesa ili wajilie kadri wanavoweza...

Hii nchi haiishi vituko,,, tunakimbilia hatua moja ilihali nyingie hatujavuka,, sijui tunawahi wapi.????..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…