Kama mtu aliomba kitambulisho chake akiwa Kigoma halafu akahamia Dar es Salaam atafanye kupata kitambulisho chake kutoka Kigoma?
View attachment 3205022
Mtu yuko Dar atumie laki mbili siku 3 kufuata kitambulisho Kigoma?NIDA wapeleke vitambulisho kwenye ofisi zao waliko wenye vitambulisho. kama wanaona hilo zoezi ni gumu warefushe muda hata miezi mitatatu watu wafuate vitambulisho vyao huko mbali walikojiandikisha.
ni shughuli pevu kwa kweliMtu yuko Dar atumie laki mbili siku 3 kufuata kitambulisho Kigoma?