Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
We ni binti?Tafuta hela binti
Kesho nitamrekodi anavyowapelekesha wananchi kama ng'ombeWeka video tuone
AiseeNIDA kila pahala ni shida
Iringa pale siasa ni Kilimo wapo dadaaz sijui mamaz wale aise usiombe ukutane nao
Siyo kote mkuu!!!NIDA kila pahala ni shida
Iringa pale siasa ni Kilimo wapo dadaaz sijui mamaz wale aise usiombe ukutane nao
Ni hatari sana ananyodo sio mchezo sema watanzania Wanyonge sana yule mama anawapelekesha nilipita Jana na Leo pale aisee natamani mimi ningekua nahitaji huduma pale ningeshamtukanaSiku hizi taasisi nyingi za kiserikali wanafanya mambo kimwinyi tangu afariki Magufuri.
Aisee hatariKiasi wanawake hawana quality za kuongoza....yapo mengi sana yapo nje ya uwezo wao....
Ni hatari sanaSiku hizi taasisi nyingi za kiserikali wanafanya mambo kimwinyi tangu afariki Magufuri.
Ningekua nahitaji huduma pale ningeshamzaba aisee anatesa wananchi kama ofisi ni yakeMzabe kofi
Halafu ukishamrekodi unadhani atachukuliwa hatuaKesho nitamrekodi anavyowapelekesha wananchi kama ng'ombe