Nida Kibaha maili Moja kuna moja ya mtumshi wenu pale hafai

Nida Kibaha maili Moja kuna moja ya mtumshi wenu pale hafai

Nadhani Nida hizo tabia zao ni swala la Kitaasisi aisee ni kama Culture kwao Kujibu watu ovyo na Kutokuwa na muda wa kuwahudumia wateja, Kuna taasisi Zina Volume Kubwa kweli ya wateja lakini Wanajitahidi sana kuhumudumia wateja wao Vizuri Mfano Tanesco
 
Ni hatari sana
Yaani hapo ukitaka unyenyekewe mkono usiwe mfupi. Ila kuna dada mmoja yupo pale Nida ya kawe aisee ni mnyeyekevu saaana kwakweli kuanzia sauti anavyokuuliza yaani anaonyesha ushirikiano wa hali ya juu
 
NIDA kila pahala ni shida
Iringa pale siasa ni Kilimo wapo dadaaz sijui mamaz wale aise usiombe ukutane nao
Ofisi za umma asilimia kubwa customer care mbovu ukiondoa baadhi ya wafuata huduma kuanzisha ugomvi wenyewe, ila ofisi za umma ukifata huduma unatamani wangekuwa na agent ambako bora uchajiwe hela ila huduma upate.

Kwa ubungo pale wilayani angalau wanajitahidi kuhudumia ukiuliza wanajieleza shida vitambulisho vyenyewe unapewa asubuhi jioni kimefutika

Shughuli ni kupata kingine
 
Kawe nishawahi mletea utata bwege mmoja...kesho kutwa,yake
Ndg yangu alipata kadi yake
Hivi utapelekeshwaje kwenye ofisi ya umma wakati bila wewe wao hawapati mishahara

Ovz
Watu huwa wanawaogopa kwa sababu wanadhani ni haki yao kufokewa.

Lazima watu waelelimishwe sana kujua haki zao.
 
Yule dada mlinzi? Na alivojichubua sasa, anakera sana asee😀
 
Watu huwa wanawaogopa kwa sababu wanadhani ni haki yao kufokewa.

Lazima watu waelelimishwe sana kujua haki zao.
Hakuna sababu ya kuwaogopa
Wengine tukingia ofisi zao,utasikiaa watata hao wamekuja watu hatuna muda wa kupoteza

Ova
 
Kuna mfanyakazi mmoja mapokezi mofisi za NIDA Kibaha maili Moja mama mmoja mweupe anakaaga nje mapokezi maili Moja mkoani ofisi za nida anajifanya kama ofisi yake binafsi anawatreatna kuwafokea wananchi kama watoto imekosa utu kabisa aisee yaani kakaa mapokeziofidi za NIDA tu ananyodo je angekua rais sijui ingekuaje
Hamtumtoi, wananchi wengine mnapenda ujuaji. Jifunze kuheshimu kazi za watu.
 
Wa hivyo huwa nawapenda sana
Mpaka atajuta kwanini aliomba hiyo kazi

Kuna mmoja ardhi akiniona na Shkamoo juu
Ofisi za umma ukiingia kilegelege
Wata kutreat kilegelege
We ukingia ni totaly tu hakuna muda wa kupoteza sijui nenda rudi njoo kesho

Ova
 
Ofisi za umma ukiingia kilegelege
Wata kutreat kilegelege
We ukingia ni totaly tu hakuna muda wa kupoteza sijui nenda rudi njoo kesho

Ova
Wapumbavu sana hao, huwa wanatengeneza mianya ya Rushwa tu.

Ukiona mtu kakubadilishia sura ujue anataka kitu.

Kelele za njaa
 
Back
Top Bottom