kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
Kama upo nje ya mkoa ulioandikisha utaratibu ukoje ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetangaza kusitisha matumizi ya namba za utambulisho kwa wale waliokaidi kuchukua vitambulisho vyao.
Tangazo hilo linakuja ikiwa zimesalia siku 15 kufikia ukomo wa agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, la kusambaza vitambulisho milioni 1.2 vilivyotengenezwa na mamlaka hiyo, ambapo vitambulisho hivyo bado havijachukuliwa na wenyewe.
View attachment 3204385
Januari 13, 2025, akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari, Waziri Bashungwa alieleza kuwa tangu atoe agizo hilo, vitambulisho 400,000 kati ya vile vilivyokuwa vimekaa ofisini kwa muda mrefu vilitolewa kwa wananchi.
Soma, Pia: Bashungwa Atoa Miezi Miwili kwa NIDA, Vitambulisho Milioni 1.2 Vilivyotengenezwa Kuwafikia Wananchi
Kwa mujibu wa barua iliyotolewa na Nida leo Ijumaa, Januari 17, 2025 na kusainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka hiyo James Kaji ilieleza wale wote ambao hawajajitokeza kuchukua vitambulisho vyao na watakaopokea ujumbe mfupi wa maandishi katika simu zao, wanatakiwa kufika katika ofisi za NIDA za wilaya walizojiandikisha kuchukua vitambulisho vyao.
“Watakaoshindwa kufanya hivyo, matumizi ya namba yao ya utambulisho wa taifa (NIN) yatasitishwa baada ya mwezi mmoja tangu kupokea ujumbe huo,” imeeleza barua hiyo.
Wanachukuliana bila pingamizi.Hivi inawezekana mtu akaenda kukuchukulia?
ndioHivi inawezekana mtu akaenda kukuchukulia?
Je hakuna sehemu yeyote itakayo hitaji mhusika mwenye kitambulisho kutia saini yake?Wanachukuliana bila pingamizi.
Changamoto mchukuaji akikipoteza na kutomfikishia mhusika ndipo ilipo shida yenyewe.
Hakuna despach book inayotumika kuchukuliana ili kukiri ushahidi wa kimaandishi.
Nilivyoona utaratibu ulivyo: kunakuwa na counter boook iliyoorodheshwa vitambulisho vyote vilivyopo, halafu kuna sehemu ya kusaini mchukuaji.Je hakuna sehemu yeyote itakayo hitaji mhusika mwenye kitambulisho kutia saini yake?
Ahaa sawasawa shukran mkuu.Nilivyoona utaratibu ulivyo: kunakuwa na counter boook iliyoorodheshwa vitambulisho vyote vilivyopo, halafu kuna sehemu ya kusaini mchukuaji.
Sasa mtu akifika pale anachambua vya watu anaowafahamu, mf: mke, mtoto, rafiki nk nk, kisha anasaini mbele ya kitambulisho anakichochukua, haulizwi kitambulisho ama utambulisho wake, ni just a sign, anabeba.
Vingine vimechakalia kwenye ofisi za watendaji kwa sababu ya kushikwa shikwa kila siku kwenye kuchambua.
Sasa mtu anaenda kuchukua kitambulisho wanamuomba rushwa unategemea nini?Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetangaza kusitisha matumizi ya namba za utambulisho kwa wale waliokaidi kuchukua vitambulisho vyao.
Tangazo hilo linakuja ikiwa zimesalia siku 15 kufikia ukomo wa agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, la kusambaza vitambulisho milioni 1.2 vilivyotengenezwa na mamlaka hiyo, ambapo vitambulisho hivyo bado havijachukuliwa na wenyewe.
View attachment 3204385
Januari 13, 2025, akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari, Waziri Bashungwa alieleza kuwa tangu atoe agizo hilo, vitambulisho 400,000 kati ya vile vilivyokuwa vimekaa ofisini kwa muda mrefu vilitolewa kwa wananchi.
Soma, Pia: Bashungwa Atoa Miezi Miwili kwa NIDA, Vitambulisho Milioni 1.2 Vilivyotengenezwa Kuwafikia Wananchi
Kwa mujibu wa barua iliyotolewa na Nida leo Ijumaa, Januari 17, 2025 na kusainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka hiyo James Kaji ilieleza wale wote ambao hawajajitokeza kuchukua vitambulisho vyao na watakaopokea ujumbe mfupi wa maandishi katika simu zao, wanatakiwa kufika katika ofisi za NIDA za wilaya walizojiandikisha kuchukua vitambulisho vyao.
“Watakaoshindwa kufanya hivyo, matumizi ya namba yao ya utambulisho wa taifa (NIN) yatasitishwa baada ya mwezi mmoja tangu kupokea ujumbe huo,” imeeleza barua hiyo.
Yaani NIDA wanaona kadi 1.2m, ila raia hata namba tu haoniWananchi wakivitafuta hawavioni wakati mamlaka inaviona vimejaa tele
Ivi wakuu kama ID yangu ya NIDA ime expire napatàje mpya?Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetangaza kusitisha matumizi ya namba za utambulisho kwa wale waliokaidi kuchukua vitambulisho vyao.
Tangazo hilo linakuja ikiwa zimesalia siku 15 kufikia ukomo wa agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, la kusambaza vitambulisho milioni 1.2 vilivyotengenezwa na mamlaka hiyo, ambapo vitambulisho hivyo bado havijachukuliwa na wenyewe.
View attachment 3204385
Januari 13, 2025, akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari, Waziri Bashungwa alieleza kuwa tangu atoe agizo hilo, vitambulisho 400,000 kati ya vile vilivyokuwa vimekaa ofisini kwa muda mrefu vilitolewa kwa wananchi.
Soma, Pia: Bashungwa Atoa Miezi Miwili kwa NIDA, Vitambulisho Milioni 1.2 Vilivyotengenezwa Kuwafikia Wananchi
Kwa mujibu wa barua iliyotolewa na Nida leo Ijumaa, Januari 17, 2025 na kusainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka hiyo James Kaji ilieleza wale wote ambao hawajajitokeza kuchukua vitambulisho vyao na watakaopokea ujumbe mfupi wa maandishi katika simu zao, wanatakiwa kufika katika ofisi za NIDA za wilaya walizojiandikisha kuchukua vitambulisho vyao.
“Watakaoshindwa kufanya hivyo, matumizi ya namba yao ya utambulisho wa taifa (NIN) yatasitishwa baada ya mwezi mmoja tangu kupokea ujumbe huo,” imeeleza barua hiyo.
Hakina ukomo kwa sasaIvi wakuu kama ID yangu ya NIDA ime expire napatàje mpya?