NIDA Mbeya kwanini vitambulisho vinafutika kabla ya kuwafikia raia? Hamuoni kama mnachezea kodi zetu makusudi?

Ndiyo maana mm hua sibebi kabisa maana picha yangu haipo hata majina yeme futika haya eleweki kabisa yaani.
 
Wanafanya kusudi hao, wapokonywe tenda, apewe aliyechaposha Nida ya Kwanza kabisa, Mimi changu hakijafutika Hadi Leo hii. Na nilichukua vile vya mwanzo walivyo sema vina expire
 
Kuhuisha kitambulisho kilichoharibika au kuchakaa ni TSH 20000. Vikiharibika au kufutika 1000 ni sawa TSH million 20..... Upo hapo ? 😳
 
Me nna nida zile za mwanzoni nlipata 2014, mpaka leo kiko na ubora wake
Hivi kuanzia 2020 vimelalamikiwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…