NIDA: Namba za Utambulisho (NIN) Milioni 6 bado hazijatumika kusajili laini za simu

NIDA: Namba za Utambulisho (NIN) Milioni 6 bado hazijatumika kusajili laini za simu

Wakuuu hiii takwimu sijaelewa wanaposema kuwa kati waliosajiriwa na NIDA ni milioni nne hawajaenda kusajiri laini zao, wanagunduaje? Maana wengine huwa na laini Tatu na hutumia kitambulisho hicho hicho, wengne hawana Simu, sasa hii takwimu imewapiga chenga au ni Mimi sielewi? Maaana mfano Mimi nimesajiri laini nne Kwa kitambulisho chao kimoja hicho hicho, huenda wangesema takwimu za laini ambazo hadi sasa hazijasajiliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kwa ku compare fringerprint zilizopo kwenye database ya NIDA na zile za kwenye Makampuni ya Simu mkuu??
 
Kwa mujibu wa TCRA namba za vitambulisho milioni 6 zilizozalishwa na NIDA hazijaonekana kufanya usajili wa line za simu hata baada ya zoezi kubakisha siku 3 kufika mwisho.

Je, Watanzania hao wako hai hadi leo. Kama wako hai kwanini hawajajitokeza kusajili line zao kwa alama za vidole?

Au hizi takwimu milioni 6 za TCRA ni takwimu zilizopikwa ili kumshawishi Rais asiongeze muda wa kukamilisha usajili wa line za simu?
 
And of course,what an answer.... Now that answer reflects what kind of a person you are and to come up with that title isn't ur fault.... I'm the one who's on the wrong track... I apologize.
 
And of course,what an answer.... Now that answer reflects what kind of a person you are and to come up with that title isn't ur fault.... I'm the one who's on the wrong track... I apologize.

Sometimes elewa maudhui inatosha
 
Kwa mujibu wa TCRA namba za vitambulisho milioni 6 zilizozalishwa na NIDA hazijaonekana kufanya usajili wa line za simu hata baada ya zoezi kubakisha siku 3 kufika mwisho

Je,watanzania hao wako hai hadi leo.Kama wako hai kwa nini hawajajitokeza kusajili line zao kwa alamama za vidole.

Au hizi takwimu milioni 6 za TCRA ni takwimu zilizopikwa ili kumshawishi rais asiongeze muda wa kukamilisha usajili wa line za simu
takwimu ni sahihi. Acheni ubishi
 
Ni vizuri ukaweka link kwani watanzania ni mabingwa wa kutoelewa maelezo. Inawezekana kabisa wewe hukuelewa. BTW kwani ni lazima kila mwenye kitambulisho asajili line ya simu? Kwani hakuna watu wengi tu wanaotaka vitambulisho kwa ajili ya utambulisho mwingine na siyo kwa kusajili simu tu? Au wakaamua kuwa watasajili baadae?
 
Back
Top Bottom