Si kwa ku compare fringerprint zilizopo kwenye database ya NIDA na zile za kwenye Makampuni ya Simu mkuu??Wakuuu hiii takwimu sijaelewa wanaposema kuwa kati waliosajiriwa na NIDA ni milioni nne hawajaenda kusajiri laini zao, wanagunduaje? Maana wengine huwa na laini Tatu na hutumia kitambulisho hicho hicho, wengne hawana Simu, sasa hii takwimu imewapiga chenga au ni Mimi sielewi? Maaana mfano Mimi nimesajiri laini nne Kwa kitambulisho chao kimoja hicho hicho, huenda wangesema takwimu za laini ambazo hadi sasa hazijasajiliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
nahisi wanawaogopaNacho jiuliza kama TCRA wametoa muda wa watu kujiandikisha,wanakwama wapi kuwapa NIDA muda wa kumaliza kutoa vitambulisho kwa wanaojiandikisha ?
Inawezekananahisi wanawaogopa
Hkl nini... Kumbe kutengeneza kichwa cha habari uliyosoma inafundishwa advance.jiheshimu dogo unafikiri kila mtu kasoma hkl kama wewe na dadako
Eeh lazima tufundishwe dogoHkl nini... Kumbe kutengeneza kichwa cha habari uliyosoma inafundishwa advance.
Kama hilo linaanza Kufundishwa advance na o'level wanafundishwa nnEeh lazima tufundishwe dogo
KudangaKama hilo linaanza Kufundishwa advance na o'level wanafundishwa nn
And of course,what an answer.... Now that answer reflects what kind of a person you are and to come up with that title isn't ur fault.... I'm the one who's on the wrong track... I apologize.Kudanga
And of course,what an answer.... Now that answer reflects what kind of a person you are and to come up with that title isn't ur fault.... I'm the one who's on the wrong track... I apologize.
takwimu ni sahihi. Acheni ubishiKwa mujibu wa TCRA namba za vitambulisho milioni 6 zilizozalishwa na NIDA hazijaonekana kufanya usajili wa line za simu hata baada ya zoezi kubakisha siku 3 kufika mwisho
Je,watanzania hao wako hai hadi leo.Kama wako hai kwa nini hawajajitokeza kusajili line zao kwa alamama za vidole.
Au hizi takwimu milioni 6 za TCRA ni takwimu zilizopikwa ili kumshawishi rais asiongeze muda wa kukamilisha usajili wa line za simu
Wewe unaona hiyo heading ipo vizuriSometimes elewa maudhui inatosha
Wewe unaona hiyo heading ipo vizuri
Hili zoezi la kusahiri laini za simu upya ni zuri sana !
Litaondoa makandokando mengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuuliza swali... Sio kuanza kuniattackAmekuuliza upendekeze unachoona wewe sahihi.
Kila mtu na mtazamo wake ..... Ameweka question mark.
Ni vizuri ukaweka link kwani watanzania ni mabingwa wa kutoelewa maelezo. Inawezekana kabisa wewe hukuelewa. BTW kwani ni lazima kila mwenye kitambulisho asajili line ya simu? Kwani hakuna watu wengi tu wanaotaka vitambulisho kwa ajili ya utambulisho mwingine na siyo kwa kusajili simu tu? Au wakaamua kuwa watasajili baadae?Kwa mujibu wa TCRA namba za vitambulisho milioni 6 zilizozalishwa na NIDA hazijaonekana kufanya usajili wa line za simu hata baada ya zoezi kubakisha siku 3 kufika mwisho
Je,watanzania hao wako hai hadi leo.Kama wako hai kwa nini hawajajitokeza kusajili line zao kwa alamama za vidole.
Au hizi takwimu milioni 6 za TCRA ni takwimu zilizopikwa ili kumshawishi rais asiongeze muda wa kukamilisha usajili wa line za simu