Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Bora watutangazie rasmi kwamba hii project imekufa rasmi kuliko kuendelea kutusumbuaWameshakula posho za kutosha na pesa zimepigwa sana. Nchi hii ngumu balaa
Kila rais aliejaribu hili zoezi alifeli!Hili suala la vitambulisho vya taifa limekuwa kero sana. Kuna watu wengi wamejiandikisha toka 2017 ila mpaka sasa hawana vitambulisho.
Leo nimeenda kufuatilia kitambulisho changu nilichojiandikisha 2018 na hayo ndio majibu niliyopewa.
Kuna kitu gani kipo NIDA? Mbona viongozi wako kimya huku NIDA wakiendelea kutuvimbia wananchi?
Wakati huo sisi tunaangaika na hivyo vitambulisho ambavyo hadi wa leo wengine hatujawahi kuviona Wahindi walishapata tena kwa kuletewa nyumbani,iliniuma sanayan NIDA imekua kama kitu cha magendo, wanatoa kwa kuvizia
Kwahiyo unataka kusema nn?Umejiandikisha 2018 unakuja kulilia, kuna raia toka 2015 mpaka leo wame-mute
Hili suala la vitambulisho vya taifa limekuwa kero sana. Kuna watu wengi wamejiandikisha toka 2017 ila mpaka sasa hawana vitambulisho.
Leo nimeenda kufuatilia kitambulisho changu nilichojiandikisha 2018 na hayo ndio majibu niliyopewa.
Kuna kitu gani kipo NIDA? Mbona viongozi wako kimya huku NIDA wakiendelea kutuvimbia wananchi?
Vitambulisho vinaendelea kutolewa kama kawaida katika ofisi zote za usajili za Wilaya nchini. Lakini pia vilivyopelekwa katika ofisi za watendaji wa vijiji na Serikali za Mitaa vinatolewaNi ofisi ya Wilaya gani hiyo uliyoenda Mkuu ukaambiwa hawatoi tena? labda kama walikuambia kuwa hakijachapishwa au hakijawafikia hapo ofisini ili kukitoa kwako kama mhusika hapo sawa. Lakini si kwamba hakuna mpango wa kutoa Vitambulisho vya Taifa tena , hiyo si kweli. Yawezekana aliyekujibu hakuwa mtumishi.Hili suala la vitambulisho vya taifa limekuwa kero sana. Kuna watu wengi wamejiandikisha toka 2017 ila mpaka sasa hawana vitambulisho.
Leo nimeenda kufuatilia kitambulisho changu nilichojiandikisha 2018 na hayo ndio majibu niliyopewa.
Kuna kitu gani kipo NIDA? Mbona viongozi wako kimya huku NIDA wakiendelea kutuvimbia wananchi?
Mkuu, waache tu wakae nacho. Kwa hali ilivo ngumu sasa hv, hata wakikupa, ukienda nacho kwa mangi bei haipungui. Kama hata namba wamekunyima hapo anzisha tifu. Tofaut na hapo kaa na namba yako fanya mambo mengine.Hili suala la vitambulisho vya taifa limekuwa kero sana. Kuna watu wengi wamejiandikisha toka 2017 ila mpaka sasa hawana vitambulisho.
Leo nimeenda kufuatilia kitambulisho changu nilichojiandikisha 2018 na hayo ndio majibu niliyopewa.
Kuna kitu gani kipo NIDA? Mbona viongozi wako kimya huku NIDA wakiendelea kutuvimbia wananchi?
Kuna jamaa angu anadownload hzo copy chap kwa 10000 nicheck 0715058481Na bila NIDA japo namba tu unakwama kila pale.
Nikucheck wewe au huyo jamaa yako?Kuna jamaa angu anadownload hzo copy chap kwa 10000 nicheck 0715058481
Kupata hii nida unatoa hela?Wamechukua 20,000 yangu na usumbufu mwingine mwingi ila mwaka wa 3 huu sasa bado nawasikilizia tu.