Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VumiliaUsumbufu tu
Acha kiburi ww dogosirudishi kamwe
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) imeanza kuchapa upya vitambulisho vilivyochapishwa chini ya kiwango, hivyo imewataka wenye navyo kuviwasilisha katika ofisi zake zilizo karibu nao vichapwe upya.
Hayo yamesemwa leo Alhamisi Julai 4, 2024 na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Nida, Geofrey Tengeneza alipozungumza na Mwananchi.
Amesema hatua hiyo imetokana na malalamiko kutoka kwa wananchi wa mikoa mbalimbali kuhusu ubora hafifu wa baadhi ya vitambulisho hivyo.
"Tumekuwa tukipokea malalamiko kutoka kwa baadhi ya wananchi wa mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Morogoro Dar es Salaam na mingine, kuwa vitambulisho walivyopewa vimefutika picha na majina," amesema.
Baada ya kufanya utafiti na kubaini ukweli juu ya changamoto hiyo na Nida imeamua kuvikusanya kutoka kwa wananchi ili kuvichapisha upya.
"Napenda kuchukua nafasi hii kuujulisha umma wa Watanzania kwamba yoyote mwenye kitambulisho kilichofutika picha na maandishi akirejeshe kwenye ofisi za kata yake, au ofisi za Nida zilizopo karibu naye ili achap
mimi dogo sioAcha kiburi ww dogo
Hapa kipengele, changu namba zishafutika kama 4Hawana
Nisamehe 😎mimi dogo sio
umesamehewaNisamehe 😎