John porter
Member
- Jul 8, 2013
- 65
- 28
Chuo cha utumishi wa umma tawi la Mtwara chasimamisha wanafunzi wake kimasomo kwa muda wa mwaka mmoja wakiwemo wawili waliokuwa semista ya mwisho kwa kosa la kukutwa na chabo ndani ya chumba cha mtihani..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuo cha utumishi wa umma tawi la Mtwara chasimamisha wanafunzi wake kimasomo kwa muda wa mwaka mmoja wakiwemo wawili waliokuwa semista ya mwisho kwa kosa la kukutwa na chabo ndani ya chumba cha mtihani..
- Hawa wanabahati kwamba wamesimamishwa masomo.
- Vyuo vingine(baadhi) kosa hilo huwa ni kufukuzwa chuo na wala huwa hakuna mjadala wala kesi, unakuwa hauna chuo kabisa.