P Pascal Matimba Member Joined Aug 8, 2013 Posts 65 Reaction score 1 Jun 19, 2014 #1 Jamani kwa university inayoanza kuna ruksa ya kua na serikali ya wanafunzi iliyochaguliwa na wanafunzi kwa mwaka Wa kwanza
Jamani kwa university inayoanza kuna ruksa ya kua na serikali ya wanafunzi iliyochaguliwa na wanafunzi kwa mwaka Wa kwanza
Luno G JF-Expert Member Joined Sep 22, 2012 Posts 2,549 Reaction score 1,849 Jun 19, 2014 #2 baadhi ya vyuo inaruhusiwa
P Pascal Matimba Member Joined Aug 8, 2013 Posts 65 Reaction score 1 Jun 19, 2014 Thread starter #3 Kisheria inakuaje wanafunzi wakidai kupewa serikali km mambo hayaendi inavyotakiwa watasikilizwa?????
Kisheria inakuaje wanafunzi wakidai kupewa serikali km mambo hayaendi inavyotakiwa watasikilizwa?????
Luno G JF-Expert Member Joined Sep 22, 2012 Posts 2,549 Reaction score 1,849 Jun 19, 2014 #4 inawezekana ikawa sikukuelewa unachotaka kusema chuo ndio kina first year tu so swali lako je inaruhusiwa hawa wanafunzi wa first year tu kuchagua serikali yao? kama hilo ndio swali jibu ni ndio inawezekana na ndivyo inavyotakiwa
inawezekana ikawa sikukuelewa unachotaka kusema chuo ndio kina first year tu so swali lako je inaruhusiwa hawa wanafunzi wa first year tu kuchagua serikali yao? kama hilo ndio swali jibu ni ndio inawezekana na ndivyo inavyotakiwa