Nielekeze kuhusu serikali ya wanafunzi

Nielekeze kuhusu serikali ya wanafunzi

Joined
Aug 8, 2013
Posts
65
Reaction score
1
Jamani kwa university inayoanza kuna ruksa ya kua na serikali ya wanafunzi iliyochaguliwa na wanafunzi kwa mwaka Wa kwanza
 
Kisheria inakuaje wanafunzi wakidai kupewa serikali km mambo hayaendi inavyotakiwa watasikilizwa?????
 
inawezekana ikawa sikukuelewa unachotaka kusema chuo ndio kina first year tu so swali lako je inaruhusiwa hawa wanafunzi wa first year tu kuchagua serikali yao? kama hilo ndio swali jibu ni ndio inawezekana na ndivyo inavyotakiwa
 
Back
Top Bottom