Wajaribu Nakette Pharmacy wako Dar Mwenge opposite na ITV, au duka lao lingine liko karibu na Clouds FMWakuu habari zenu
Nahitaji kumnunulia kijana mmoja neck support (nimeattach picha). Alipata ajari sasa shingo ameambiwa na madr inatakiwa apate neck support na kwao hawako ok at the moment akanitafuta nimsaidie, nimemuonea huruma sana huyu kijana[emoji17],
ila nimeulizia pharmacy mbili hawakonazo na mimi niko busy kiasi, kama unajua wanapouza nielekeze tu au nipatie page yao au mawasiliano yao tamtuma mtu afate awatumie kwa bus cas wapo mkoani na huko wanasema kila sehemu hawana. Please nisaidieni hilo wakuu[emoji120]View attachment 3073808
Karibu, ukikwama nirudie tena nijaribu kukutafutiaok asante, wacha niwatafute online nipate contacts zao [emoji120]
Robbyone pharmacy ipo kariakoo nilinunua kama mwezi hivi umeishaWakuu habari zenu