NIELEKEZE WAPI NAWEZA NUNUA NECK SUPPORT

buswagg

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2023
Posts
728
Reaction score
1,352
Wakuu habari zenu

Nahitaji kumnunulia kijana mmoja neck support (nimeattach picha). Alipata ajari sasa shingo ameambiwa na madr inatakiwa apate neck support na kwao hawako ok at the moment akanitafuta nimsaidie, nimemuonea huruma sana huyu kijana[emoji17],

ila nimeulizia pharmacy mbili hawakonazo na mimi niko busy kiasi, kama unajua wanapouza nielekeze tu au nipatie page yao au mawasiliano yao tamtuma mtu afate awatumie kwa bus cas wapo mkoani na huko wanasema kila sehemu hawana. Please nisaidieni hilo wakuu[emoji120]
images%20(25).jpg
 
Wakuu habari zenu

Nahitaji kumnunulia kijana mmoja neck support (nimeattach picha). Alipata ajari sasa shingo ameambiwa na madr inatakiwa apate neck support na kwao hawako ok at the moment akanitafuta nimsaidie, nimemuonea huruma sana huyu kijana[emoji17],

ila nimeulizia pharmacy mbili hawakonazo na mimi niko busy kiasi, kama unajua wanapouza nielekeze tu au nipatie page yao au mawasiliano yao tamtuma mtu afate awatumie kwa bus cas wapo mkoani na huko wanasema kila sehemu hawana. Please nisaidieni hilo wakuu[emoji120]View attachment 3073808
Wajaribu Nakette Pharmacy wako Dar Mwenge opposite na ITV, au duka lao lingine liko karibu na Clouds FM
 
ok asante, wacha niwatafute online nipate contacts zao [emoji120]
 
Wakuu habari zenu

Nahitaji kumnunulia kijana mmoja neck support (nimeattach picha). Alipata ajari sasa shingo ameambiwa na madr inatakiwa apate neck support na kwao hawako ok at the moment akanitafuta nimsaidie, nimemuonea huruma sana huyu kijana[emoji17],

ila nimeulizia pharmacy mbili hawakonazo na mimi niko busy kiasi, kama unajua wanapouza nielekeze tu au nipatie page yao au mawasiliano yao tamtuma mtu afate awatumie kwa bus cas wapo mkoani na huko wanasema kila sehemu hawana. Please nisaidieni hilo wakuu[emoji120]View attachment 3073808
Robbyone pharmacy ipo kariakoo nilinunua kama mwezi hivi umeisha
 
Back
Top Bottom