Nielekezeni jinsi ya kuunganisha computer na printer

Namora

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
410
Reaction score
1,014
Wakuu msaada pls.
Kuna computer hapa inatumika kama Server, hiyo server ndio imeunganishwa na printer.
Sasa nilitaka niunganishe computer zingine zipo kama 7 through wifi ili ziweze kuprint.
Yaani mtu akitaka kuprint sio mpaka aende pale kwenye computer iliyounganishwa na printer.

Muongozo tafadhali
 
Hizo Canon zinakuwaga na kipengele sana kwenye upande wa Wireless

Ila jaribu kuicheki kwenye list ya Wi-fi kupitia simu yako kama utaiona.

In case umeiona itahitaji password kui connect tazama kitabu cha user guide kunakuwa na password imeandikwa.
 
Kuna watalam waite wakufanyie usiingilie taaluma za watu. Ama kama unaona gharama sana basi nenda kasome kozi fupi uje kufanya mwenyewe
 
Vizuri ukatafuta video ikuelekeze hatua halisi kwa majina. Labda kukusaidia utafanya kazi pande mbili. Kompyuta ya server na hizo kompyuta nyingine.
1. Ingia kwenye kompyuta yenye waya wa printer yaani kompyuta mama.

Nenda kwenye network and sharing.
Ruhusu sharing ya printer
Ruhusu, I mean ondoa uncheck kigezo cha kuhitaji password ili kushare.

2. Baadae utaenda kwenye kompyuta zako na kuitafuta kompyuta hii kwenye network kuona kama inadisplay na printer husika.
Utasema connect
Halafu utaendelea kuprint kwa kuchagua hiyo printer maana itaanza kuonekana kwenye peompt ya printer zilizopo unapotaka kuprinti.
 
Mkuu unaweza niwekea na video tafadhali..pleas
 
Kuna watalam waite wakufanyie usiingilie taaluma za watu. Ama kama unaona gharama sana basi nenda kasome kozi fupi uje kufanya mwenyewe
Nini maana sasa ya kuweka majukwaa ya technical na afya?? Stupid argument
 
Hizo Canon zinakuwaga na kipengele sana kwenye upande wa Wireless

Ila jaribu kuicheki kwenye list ya Wi-fi kupitia simu yako kama utaiona.

In case umeiona itahitaji password kui connect tazama kitabu cha user guide kunakuwa na password imeandikwa.
Dogo nawe hakuna printer inayounganishwa kifupi mtoa mada anahitaji kushare printer hiyo sever anayoisema ipo installed na driver za printer ba mashine hizo 7 zina access internet through wireless router so cha kufanya ni kushare printer kwenye hizo computer 7 ila kila unapofanya sharing hakikisha cd ya printer umeiweka kwenye pc husika. Ukiona hujaelewa ita watalam mkuu itakutoa jasho hiyo kama hujui IT
 
Kwenye wifi ukiweka unaiona computer kama computer na sio Printer. Sasa nilitaka kujua naweza unganisha hiyo sever ikawa inaComand printer kuprint kutoka kwenye computer zingine zilizounganishwa kwa bluetooth
 
Kumbe unajua... Sasa si utuelekeze
 
Kwenye wifi ukiweka unaiona computer kama computer na sio Printer. Sasa nilitaka kujua naweza unganisha hiyo sever ikawa inaComand printer kuprint kutoka kwenye computer zingine zilizounganishwa kwa bluetooth
Japo umenitukana ila mtalam wako ni mm. Ipo hivi huweziona printer kama haujaona computer husika so hakikisha mashine zote zinaiona sever kwa kubadili workgroup
 
Ni Canon ngapi?

Maana kuna Photocopy moja ya Canon 2530i image runner mi mwenyewe ilinishinda
 
Japo umenitukana ila mtalam wako ni mm. Ipo hivi huweziona printer kama haujaona computer husika so hakikisha mashine zote zinaiona sever kwa kubadili workgroup
Tupe maelezo in details pls
 
Back
Top Bottom