Nielekezeni jinsi ya kuunganisha computer na printer

Nielekezeni jinsi ya kuunganisha computer na printer

Hizo ni kipengele nakumbuka nilicheza kutafuta Ip address ya printer nilikwama, Ip Address ilikuwa ina display 00.000.000

Hapo ndio nilipo kwama
Hata mimi nimekwama hapo, ip haibadiriki yaani
 
Hata mimi nimekwama hapo, ip haibadiriki yaani
Niliangalia tutorial ambayo ilionesha ili ku obtain hizo Ip Address unatakiwa uwe na Ethernet cable

Nikaweka Ethernet cable lakini wapi ngoma ikanigomea
 
Wakuu msaada pls.
Kuna computer hapa inatumika kama Server, hiyo server ndio imeunganishwa na printer.
Sasa nilitaka niunganishe computer zingine zipo kama 7 through wifi ili ziweze kuprint.
Yaani mtu akitaka kuprint sio mpaka aende pale kwenye computer iliyounganishwa na printer.

Muongozo tafadhali
Kwahiyo umenunua computer na printer the fundi unataka kuwa mwenyewe.... acha ubahili!
 
Back
Top Bottom