Nielekezeni jinsi ya kuunganisha computer na printer

Hizo ni kipengele nakumbuka nilicheza kutafuta Ip address ya printer nilikwama, Ip Address ilikuwa ina display 00.000.000

Hapo ndio nilipo kwama
 
Hizo ni kipengele nakumbuka nilicheza kutafuta Ip address ya printer nilikwama, Ip Address ilikuwa ina display 00.000.000

Hapo ndio nilipo kwama
Hata mimi nimekwama hapo, ip haibadiriki yaani
 
Hata mimi nimekwama hapo, ip haibadiriki yaani
Niliangalia tutorial ambayo ilionesha ili ku obtain hizo Ip Address unatakiwa uwe na Ethernet cable

Nikaweka Ethernet cable lakini wapi ngoma ikanigomea
 
Kwahiyo umenunua computer na printer the fundi unataka kuwa mwenyewe.... acha ubahili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…