Nielekezeni mapishi Bora na ya kuvutia ya miguu ya kuku

Hizo ngoko mie binafsi siipendi, na sijawahi kuila.
Anyway osha na maji safi kisha weka ndimu tangawizi, pilipili manga, swaumu curry powder chumvi kama unatumia na pilipili pia weka
Ichemshe.
Ikiiva ipua.
Deep fry mpaka iwe brown...
Halafu anza kutafuna tafuna.
 
Hahahaha what a happy ending.. namuonesha wifi yako Joanah hii comment.

thanks for caring buddy
 
Mwenyewe siipendi...Na Vichwa[emoji57]
Tena bora kuku wa kienyeji kuliko hawa wasio na Baba[emoji3]
 
Haya ndio matokeo ya royo tua eehhhh...🤨
 
Upo kama mimi aisee, miguu ya kuju sijui utumbo, kichwa hapana, vinipite mbali kabisa
Yani kwanza haimake sense...mtu anakulaje miguu ya kuku asee

Mie siwezi hata huo utumbo naona ni uchafu tu
 
Mie naipenda sana,kuna mama alikuaga anaipika mtaani kwetu yaan ni milaini mitamu anaweka na kapilipili aisee,ugali unashuka hadi raha(Yeye alikua anapika miguu,utumbo na vichwa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39])
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…