Nielekezeni mapishi Bora na ya kuvutia ya miguu ya kuku

Nielekezeni mapishi Bora na ya kuvutia ya miguu ya kuku

[emoji57][emoji57][emoji57] yaani mapaja yaliwe wapi mpaka wewe ununue miguu?
Wazungu ndiyo wanakula mapaja
Mbona samaki wanachukua minofu mnabaki na mapanki??
 
Mkuuuuuuuuuuu aaah[emoji74][emoji74]
Iyo chemsha na ndimu na kitunguu swaum
Pilipili na carrot [emoji1647]
Vyote hivyo saga
Usiache kitunguu maji pia
Kama una viaz mvilingo weka pia meishoni miguu ikishaiva pamoja na hoho
Afu itafutie pozi igongeeeeee ukishushia na coka bariiidi kabisa[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]
 
Sorry i mean no dis respect..But miguu ya kuku mtu unakulaje??[emoji17]
 
Weka tangawizi, vitunguu swaum, hoho, karoti chumvi, mafuta. Ibandike jikoni ifunike mpk nyanya zitoe mchuzi kabisa.Weka maji kidogo ichemke teena kidogo tayari kwa kuliwa.
 
Back
Top Bottom