simon baker
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 522
- 698
sijawahi kufanya biashara, kazi yangu hairuhusu kufanya biashara binafsi, so na outsource mitaji kwa mke na ndugu zangu....Ushawai fanya biashara?wew ni mfanya biashara?au unaongea na hujui hata unachoongea..kodi ya mapato maana yake nin? Tuanzie hapo kwanza
kodi ya mapato imekua wide sana mkuu, esp zama hizi( mfano - Alternative Minimum Tax (AMT) on turnover for loss making companies 0.3 % ya loss y mwaka wa 3(kama miaka mitatu yote unapata hasara) kwahiyo nayo ni kodi ya mapato/hasara....which ever the way...
ila la msingi jua kwamba ile ni kama deferred tax ..its an assurance kama uta operate..lazma u account kodi mapema...ukiwa in payable position itafidia, ukiwa kwenye refundable position ita ongezeka relief kwako
JUA..juu chini kama mfanyabiashara, lazma ulipe advance,,maana kodi itakuhusu tu kila njia ya operation zako mbele..lipa now au mbele zaidi..so ndo mana unagongwa mapema..
in short kueleza kimfumo wa lugha y abiashara siwezi, i dont speak business, i analyse ..