Nielimisheni wana jf kuhusu hili.

Nielimisheni wana jf kuhusu hili.

kapu

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
218
Reaction score
44
Habari za jumapili wana JF"hivi neno" PLAZA"lina maana gani na pia kiuhalisia linabidi kutumika katika majengo ya namna gani au jengo lolote linaweza kuandikwa hilo neno?
 
Back
Top Bottom