Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NIENDE CHUO GANI NINA 27?
=>nimepata
math_D
Phy_D
Chem_D
Bios_C
Engl_D
Civ_D
Hist_D
kisw_D
Geo_D
am comfused what should I Do.?? Mawazo yenu bandugu
King'asti acha kumdanganya mtoto wa watu siku hizi hakuna kazi za kupangiwa moja kwa mojaNenda Institute of Judicial Administration , lushotto. Wana program ya kusoma pre-something na kisha certificate ya sheria. Ukimaliza unga diploma ya sheria na baada ya hapounapangiwa kazi moja kwa moja tandahimba huko. Ukiwa sharp zile hongo za kesi za kuku na kufumaniana unasoma open university unapata kadigirii kako.
NIENDE CHUO GANI NINA 27?
=>nimepata
math_D
Phy_D
Chem_D
Bios_C
Engl_D
Civ_D
Hist_D
kisw_D
Geo_D
am comfused what should I Do.?? Mawazo yenu bandugu
bugando laki na mia nne
King'asti acha kumdanganya mtoto wa watu siku hizi hakuna kazi za kupangiwa moja kwa moja
Omba chuo cha afya kibaha, bugando au maswa
Ooops, unataka apangiwe bila application letter? Unajua serikali inaajiri mahakimu wangapi kwa mwaka kwenye mahakama za mwanzo all over the country? Haya umueleze ukweli basi kama unaujua. Ila ni rahisi kupata kazi kwenye mahakama tandahimba kuliko hata ukiwa mwalimu, naongelea uzoefu