Niende chuo gani nina 27?

Niende chuo gani nina 27?

Nokia3D

Member
Joined
Feb 2, 2013
Posts
74
Reaction score
1
NIENDE CHUO GANI NINA 27?
=>nimepata
math_D
Phy_D
Chem_D
Bios_C
Engl_D
Civ_D
Hist_D
kisw_D
Geo_D
am comfused what should I Do.?? Mawazo yenu bandugu
 
NIENDE CHUO GANI NINA 27?
=>nimepata
math_D
Phy_D
Chem_D
Bios_C
Engl_D
Civ_D
Hist_D
kisw_D
Geo_D
am comfused what should I Do.?? Mawazo yenu bandugu

labda uanze ngazi ya cheti,au apply ualim
 
unasoma chuo chochote sababu tayari una vigezo vya kusoma ngazi ya cheti
 
Nenda Institute of Judicial Administration , lushotto. Wana program ya kusoma pre-something na kisha certificate ya sheria. Ukimaliza unga diploma ya sheria na baada ya hapounapangiwa kazi moja kwa moja tandahimba huko.

Ukiwa sharp zile hongo za kesi za kuku na kufumaniana unasoma open university unapata kadigirii kako.
 
Nenda Institute of Judicial Administration , lushotto. Wana program ya kusoma pre-something na kisha certificate ya sheria. Ukimaliza unga diploma ya sheria na baada ya hapounapangiwa kazi moja kwa moja tandahimba huko. Ukiwa sharp zile hongo za kesi za kuku na kufumaniana unasoma open university unapata kadigirii kako.
King'asti acha kumdanganya mtoto wa watu siku hizi hakuna kazi za kupangiwa moja kwa moja
 
Last edited by a moderator:
had understood it buddies but for ur advc I should hav taken it as challeng also in nursing applictn
 
Ooops, unataka apangiwe bila application letter? Unajua serikali inaajiri mahakimu wangapi kwa mwaka kwenye mahakama za mwanzo all over the country? Haya umueleze ukweli basi kama unaujua. Ila ni rahisi kupata kazi kwenye mahakama tandahimba kuliko hata ukiwa mwalimu, naongelea uzoefu
King'asti acha kumdanganya mtoto wa watu siku hizi hakuna kazi za kupangiwa moja kwa moja
 
Ooops, unataka apangiwe bila application letter? Unajua serikali inaajiri mahakimu wangapi kwa mwaka kwenye mahakama za mwanzo all over the country? Haya umueleze ukweli basi kama unaujua. Ila ni rahisi kupata kazi kwenye mahakama tandahimba kuliko hata ukiwa mwalimu, naongelea uzoefu

Dah aisee dada ishu sio nyepesi sana mi nilimaliza pale 2011 so napajua vizuri kidogo dada, mahakamani siku hizi napo hapafai embu fikiria tangia mwaka jana mahakamimu wote watakaoajiriwa bila kujali ni wa mahakama ya mwanzo au ya wilaya lazima uwe na LLB

kwa wenye diploma ndio wanaenda kuwa makalani afu wenye cheti wanaenda kuwa wasaidizi wa ofisi(office assistants) fikiria mahakama tangia waajiri mwaka 2009(kwa kumbukumbu zangu) wamekuja kuajiri mwaka jana mahakimu tu ambao wamehitaji LLB pekee,

Mwaka huu ndio wametoa ajira 29 tu za makalani sifa lazima uwe na diploma au uwe na cheti cha sheria pamoja na cheti cha kidato cha 6. kwa wale wenye cheti sheria ambao wameishia kidato cha nne nafasi zao ni wasaidizi wa ofisi ambazo ni 23 tu

Nnachotaka kusema ni kwamba siku hizi mahakani si kwepesi sana kama kipindi kile ajira zake ni kubahatisha sana ajira hazitoki kila mwaka na zikitoka ni chache sana

Ushauri wangu ni vema akaangalia sehemu nyengine kama yeye ni mtoto wa mkulima kama mimi na pinda King'asti
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom