Niende kozi gani kwa matokeo haya?

josey03

Member
Joined
May 3, 2013
Posts
14
Reaction score
2
Jaman wadau mimi nimemaliza form six na nna div 3 y 16 kwa Combi ya PCB matokeo yangu ni Physics-F, chemistry-D, biology-E ; naombeni ushauri wa course itayonifaa na chuo.

I need advice
 
Ualimu tu, hakuna pengne panapokufaa zaidi ya huko.

Over
 
Pharmacy haichukui vilaza.
 
Hapa mjomba kwa sabab unapenda sana medicine lakn point zako dhAifu kasomee ukunga au UNGARIBA

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nimesoma MUHAS.

Nenda diploma yoyote, Pharmacy, Xray, Lab, Environment MUHIMBILI utapata.

Kwa masomo yako, im sure utakua ulifaulu vizuri O Level. so, hizo passes zako za A LeVel zina add advantage. Pia waweza kusomea Medical Assistancy Tumbi au mikoani.
 
Kwanza ingia TCU download CAS (Central Admission System) guidelines. Isome kwa umakini kujua mahitaji na viwango vya program tofauti kwa vyuo tofauti.

Hapo ndio uchague vyuo kulingana na uwiano kati ya kile utakacho na uwezo wako kitaluuma na kifedha. Kwa mfano angalia mahitaji ya pharmacy kwa vile vyuo vyenye hiyo program na wanaochaguliwa hapo huwa wanaperformance gani?

Kama unafiti apply kama haufiti fikiria program nyingine. Heri na fanaka.
 
kwa mchipuo huo...umejitaidi sana matokeo ya kwaka huu ni mabaya sana,...hapo degree unasoma bila shaka
 
Nenda ualimu jaza chuo cha kwanza kile cha Eknford TANGA, hata ungekuwa na E, E watakuchukua tu na utapata MKOPO
 
Huu si ushauri wa kiuungwana. Hupotezi chochote kumuelekeza muuliza swali mahitaji ya pharmacy kama unayajua.

Huyo jamaa huwa anafikiri ana akili sana kuliko wengine,hayo ndiyo huwa majibu yake.
 
Ok, thanks lakini jinsi ya kuaply diploma ni sawa na tcu? and hapo muhas siez pata advanced diploma moja kwa moja kwasababu o level nilifaulu masomo yote.
 
Huyo jamaa huwa anafikiri ana akili sana kuliko wengine,hayo ndiyo huwa majibu yake.

Tatizo wabongo hampendi kuambiwa ukweli, huyo dogo kwa marks hzo hapati pharmacy, otherwise aombe kozi zinazochukua vilaza kama za ualimu etc.
 
tatizo wabongo hampendi kuambiwa ukweli..huyo dogo kwa marks hzo hapati pharmacy,otherwise aombe kozi zinazochukua vilaza kama za ualimu etc.

Naona wewe hukufundishwa na hao walimu,unazidi kudhihirisha ulivyo.Hongera sana
 
Huu si ushauri wa kiuungwana. Hupotezi chochote kumuelekeza muuliza swali mahitaji ya pharmacy kama unayajua.

Tatizo ni kuwa mleta mada hajitambui mpaka anamaliza form six, nilidhani angeuliza ; jamani matokeo yangu ni 123, je nifanyeje niweze kujiendeleza kwenye ndoto yangu ya xyz.

Ameitwa kilaza kwa sababu ameonekana ni mtu asiyekuwa na focus. Anataka sisi ndo tumwambie asome nini.

Juzi nimesikiilza mjadala wa elimu kwenye tv, watu wameuliza; kwa nini wengi wanaojiunga na kozi za ualimu ni wale wenye ufaulu mdogo? Ndo mambo kama haya.
 
ok, thanks lakini jinsi ya kuaply diploma ni sawa na tcu? and hapo muhas siez pata advanced diploma moja kwa moja kwasababu o level nilifaulu masomo yote

Advanced diploma moja kwa moja maana yake nini? Unataka taaluma au cheti?
 
tatizo wabongo hampendi kuambiwa ukweli..huyo dogo kwa marks hzo hapati pharmacy,otherwise aombe kozi zinazochukua vilaza kama za ualimu etc.

Heri yako wewe si kilaza.
 
Kuna aliyejaribu Kuaaply TCU recently nashindwa it seems wanasema hawana records za matokeo yangu ya form 6, could it be bado hawaja feed matokeo yetu ya form 6 kwenye database zao.

Kaka unaeza soma course yoyote kama una pass ya hesabu olevel. Mi mwenyewe nilikua nasoma EGM nina D E F na S ya GS lakini naenda kuapply IFM sababu ya pass yangu ya hesabu ya olevel.
 
nenda clinical officer,baadae utakuwa na sifa za kusoma MD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…