Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pharmacy haichukui vilaza.
Huu si ushauri wa kiuungwana. Hupotezi chochote kumuelekeza muuliza swali mahitaji ya pharmacy kama unayajua.Pharmacy haichukui vilaza.
Huu si ushauri wa kiuungwana. Hupotezi chochote kumuelekeza muuliza swali mahitaji ya pharmacy kama unayajua.
Huyo jamaa huwa anafikiri ana akili sana kuliko wengine,hayo ndiyo huwa majibu yake.
tatizo wabongo hampendi kuambiwa ukweli..huyo dogo kwa marks hzo hapati pharmacy,otherwise aombe kozi zinazochukua vilaza kama za ualimu etc.
Huu si ushauri wa kiuungwana. Hupotezi chochote kumuelekeza muuliza swali mahitaji ya pharmacy kama unayajua.
ok, thanks lakini jinsi ya kuaply diploma ni sawa na tcu? and hapo muhas siez pata advanced diploma moja kwa moja kwasababu o level nilifaulu masomo yote
tatizo wabongo hampendi kuambiwa ukweli..huyo dogo kwa marks hzo hapati pharmacy,otherwise aombe kozi zinazochukua vilaza kama za ualimu etc.