Niende kozi gani kwa matokeo haya?


mtakua bado hamjawekwa kwenye data base,kuwa na subira..pia ni vizuri ukajaribu na bcom ya udom au ile baf ya muccobs kuna chance ya kuchaguliwa.all the best.
 
Pharmacy haichukui vilaza.

Hivi kati ya huyu na wewe nani kilaza hapa???? honestly to me we ndo kilaza na hata kama ulifaulu vizur elimu yako haijakusaidia ww mtu
 
kijana unaweza hata kwenda kozi ya upishi tu, kazi ni kazi mwanawane
 
Pharmacy haichukui vilaza.

imedhihisha namna gani kichwa chako kisivyo na ufahamu.acha wivu na utoto.kama wewe ulifeli hata la kwanza nyamaza
 
tatizo wabongo hampendi kuambiwa ukweli..huyo dogo kwa marks hzo hapati pharmacy,otherwise aombe kozi zinazochukua vilaza kama za ualimu etc.

we mshenz nn?acha kuzalilisha walimu,nahc ww una 0
 
Kuna jamaa yangu alikuwa na 3 ya 16 mwaka jana akapata imtu medicine,jarib huko,may b Mungu aweza kukusaidia!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…