Niende kozi gani kwa matokeo haya?

Niende kozi gani kwa matokeo haya?

Kuna aliyejaribu Kuaaply TCU recently nashindwa it seems wanasema hawana records za matokeo yangu ya form 6, could it be bado hawaja feed matokeo yetu ya form 6 kwenye database zao.

Kaka unaeza soma course yoyote kama una pass ya hesabu olevel. Mi mwenyewe nilikua nasoma EGM nina D E F na S ya GS lakini naenda kuapply IFM sababu ya pass yangu ya hesabu ya olevel.

mtakua bado hamjawekwa kwenye data base,kuwa na subira..pia ni vizuri ukajaribu na bcom ya udom au ile baf ya muccobs kuna chance ya kuchaguliwa.all the best.
 
kijana unaweza hata kwenda kozi ya upishi tu, kazi ni kazi mwanawane
 
tatizo wabongo hampendi kuambiwa ukweli..huyo dogo kwa marks hzo hapati pharmacy,otherwise aombe kozi zinazochukua vilaza kama za ualimu etc.

we mshenz nn?acha kuzalilisha walimu,nahc ww una 0
 
Kuna jamaa yangu alikuwa na 3 ya 16 mwaka jana akapata imtu medicine,jarib huko,may b Mungu aweza kukusaidia!
 
mkuu,hyo kozi inahtaji mtu alye bright,sasa unadhani wakichukuliwa ovyo ovyo,si ndo hawa badala ya kumpa mgonjwa dawa ya kutibu minyoo wao wanampa dawa ya kutibu malaria.huyu dogo hana pakuchomokea zaidi ya kwenda ualimu tu.
Pamoja na hayo...kuna maneno ya kutumia si kiivyo!! Mkuu hata communication skills...tena one na two!! Zote umetoka kapa!!? Mi sina la ziada mkuu...
 
Back
Top Bottom