Mwafrika Halisia
Member
- Feb 14, 2022
- 62
- 95
Habari za muda wanaJF,
Mimi ni kijana nimemaliza form six mwaka huu 2024, matokeo yangu kiufupi yalikua kama ufuatavyo.
Bila kusita nilifanya application za vyuo kwa level mbili zote degree pamoja na diploma. Majibu ya vyuo tayari yameshatoka wakuu.
🔵Level ya degree-nimebahatika kuchaguliwa University of Arusha Kozi ya business administration with accounting.
🟢 Level ya diploma nimechaguliwa Kigamboni city college health and allied science Kozi ya clinical dentistry.
Wakuu Naomba ushauri wenu ndugu zangu wapi niende ambako kuna unafuu🙏🙏
Natanguliza shukran za dhat kwenu.🙏

- Chemistry - E
- Bio - E
- Geography - D
- BAM - E
- G.S - D