Mwafrika Halisia
Member
- Feb 14, 2022
- 62
- 95
- Thread starter
- #21
AhsanteNenda kachukue diploma ya dentist kwasababu unaweza ukaajiriwa napia unaweza ukajiajiri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhsanteNenda kachukue diploma ya dentist kwasababu unaweza ukaajiriwa napia unaweza ukajiajiri.
Ahsante nimekuelewa ndugu🙏Then nikuambie jambo acha mchecheto kuokota okota kila kitu unapaswa uamue uamuzi mmoja kudandia kila jambo italupotezea focus na kupoteza muda.
M
Hiyo degree kwa sasa hamna kitu akasome tu hiyo diploma ila asome hasa hiyo.course sio rahisiNenda degree toa mawazo ya kuajiriwa huko kichwani, degree itakujenga uwezo wa kupambanua mambo kuliko diploma ambayo ukimaliza utaishia kufanya kazi za kuajiriwa kwa salary ya laki tisa,
Kama una malengo makubwa nenda degree kama una malengo ya karne ya 19 nenda diploma
Maisha ni yako na wewe ndo muamuzi wa mwisho angalia kimoja kishikirie kama kina umuhimu. Mimi nilipomaliza mara nyingi watu hasa mama alitaka niingie gvt ila kutokana na jinsi nilivyojiona uwezo wangu na focus zangu nilihitaji sana uhuru ili nifanikiwe nikapiga chini gvt sikuwahi omba. Leo watu wanasema kweli nilikua sahihi japo haikua rahisi so mzee nenda Dental utaweza hata kusimama mwenyewe.Ahsante nimekuelewa ndugu🙏
Uko sahihi kabisa ushauri wako.Akasome hasa hiyo diplomaAsikutishe mkuu kwasasa elimu ya diploma vyuo vyote sawa tena private ndo wanafundisha hasa bahati mbaya wanafunzi ndo huwa wazembe...nenda kajitume utatoboa ila hakikisha unatoka na GPA mlima usipate chini ya 4.5 vingonevyo utakuja kujuta huko mbele kama utataka kuendelea.
Najua watakuja watu watakiambia GPA ya 3 inatosha ila uliza wenye hizo kwasasa wana wakati gani.
Ajsee salary ya laki tisa mnaichukulia oa nyie watu. Mbona hela nyingi sana hizoNenda degree toa mawazo ya kuajiriwa huko kichwani, degree itakujenga uwezo wa kupambanua mambo kuliko diploma ambayo ukimaliza utaishia kufanya kazi za kuajiriwa kwa salary ya laki tisa,
Kama una malengo makubwa nenda degree kama una malengo ya karne ya 19 nenda diploma
Achana nao hao laki 9 ukitulia na kupata uhuru kidogo unaweza ukaitengenezea mipango ukawa mbali sana.Ajsee salary ya laki tisa mnaichukulia oa nyie watu. Mbona hela nyingi sana hizo
We binafsi yako unapenda nini??Habari za muda wanaJF
Mimi ni kijana nimemaliza form six mwaka huu 2024, matokeo yangu kiufupi yalikua kama ufuatavyo.
Chemistry-E
Bio-E
Geography-D
BAM-E
G.S-D
Sema kweli matokeo yangu hayakua mazuri kwa ujumla.
Bila kusita nilifanya application za vyuo kwa level mbili zote degree pamoja na diploma.
Majibu ya vyuo tayari yameshatoka wakuu .
🔵Level ya degree-nimebahatika kuchaguliwa University of Arusha Kozi ya business administration with accounting.
🟢 Level ya diploma nimechaguliwa Kigamboni city college health and allied science Kozi ya clinical dentistry.
Wakuu Naomba ushauri wenu ndugu zangu wapi niende ambako kuna unafuu🙏🙏
Natanguliza shukran za dhat kwenu.🙏
Chukua degree of education,,,,mwanangu, utakuja kunishukuruHabari za muda wanaJF
Mimi ni kijana nimemaliza form six mwaka huu 2024, matokeo yangu kiufupi yalikua kama ufuatavyo.
Chemistry-E
Bio-E
Geography-D
BAM-E
G.S-D
Sema kweli matokeo yangu hayakua mazuri kwa ujumla.
Bila kusita nilifanya application za vyuo kwa level mbili zote degree pamoja na diploma.
Majibu ya vyuo tayari yameshatoka wakuu .
🔵Level ya degree-nimebahatika kuchaguliwa University of Arusha Kozi ya business administration with accounting.
🟢 Level ya diploma nimechaguliwa Kigamboni city college health and allied science Kozi ya clinical dentistry.
Wakuu Naomba ushauri wenu ndugu zangu wapi niende ambako kuna unafuu🙏🙏
Natanguliza shukran za dhat kwenu.🙏
Kwan ww ukienda kutibiwa hua unaomba vyeti vya daktari unayetaka akuhudumie?W
We binafsi yako unapenda nini??
Maana kwenye maisha kuna passion na hela
Sasa ukifata passion unaweza kula deki au la
Kama hizi kozi zote unazipenda nenda Businness tu (japo hizo course za with sijui qualification yake ikoje later) maana kwa zama hizi diploma hiyo labda kama unataka kuja kujiendeleza later baada ya tu kuhitimu diploma
Ila mtu umng'oe meno kwa Dip tu mmh zama hizi uongo
Najua kwa comment zitolewazo hadi muda huu tayari umeshaanza kuchanganyikiwa...Kwangu Mimi zote nimefall in love Kaka angu, ndio maana nahitaji ushauri wenu ndugu yang 🙏
Umempa ushaur mzuri kitu cha kuanua hatma ya maisha yako inatakiwa kiwe moyoni kama kuchagua mke au mume sio kuleta mtandaoni watu wakupe ushaur kitu cha hatma ya maisha yako inakuwaje usome mpk form six then uje uulize kwa watu nisome kozi gani how yaan watu ka hawa wakimaliza chuo wakaa miaka mitatu hana ajira anawezajinyonga coz kitu alichosomea inawezekana hakikuwa moyon mwake ila kapata ushaur kwa mtuNajua kwa comment zitolewazo hadi muda huu tayari umeshaanza kuchanganyikiwa...
Humu kila mtu anakupa uzoefu wake na kila uzoefu huwa ni mzuri kwahiyo mwisho wa siku ni wewe kujua ni nini unachokipenda.
Kinachonishangaza kwako ni umesoma hadi form six ila hadi sasa hujui unataka kuwa nani.
Sasa sijajua unasoma kwa kufuata trend ya ajira au kuna pahala ulipoteza lengo kuu la awali ambalo ulikua unalitaka?.
Na kama hivi ndivyo basi jua umeshaharibu maisha yako na hii ni serious kabisa kwa maana utasoma ila huwezi kufurahia hasa unapowaona wenzio wanaosomea course ambayo wewe unaipenda na ukimaliza ukapata kazi utaifanya ila haitakufurahisha hasa unapowaona wenzio wako kwenye ile kazi ambayo wewe uliipenda na kuipenda.
Maana ukiangalia hapo hizo course zote mbili zipo kwenye sehemu mbili tofauti, sasa sijajua kati ya hizo pande hatima yako wewe imelalia wapi.
Kwa maana kwenye hatima yako ndiko bahati yako iliko, kwamfano wewe ni kijana mdogo sana ila hapo ulipo nnauhakika nikikuuliza Bob Marley ni nani lazima utaniambia ni mwanamuziki wa nyimbo za rege.
Kimsingi Bob amerudi alikotoka mwaka 81 ila anajulikana na vizazi kwasababu hatima aliyotumwa kuja kuifanya hapa duniani aliitimiza vyema.
Kuna mifano mingi sana ya watu ambao walifanikiwa kuzifuata njia zielekeazo kwenye hatima zao na wakafanikiwa kwa kiasi kikubwa sana.
Kwahiyo na wewe nakushauri...
Sikikiza sauti iliyomo ndani mwako kwa maana hiyo ndio sauti halisi na ndio wewe halisi na kama hiyo sauti unayoiskia haipo kwenye course hata moja hapo juu usiende chuo au tuma maombi upya kwenye kile unachokiskia ndani.
Hayo matokeo yako yasikuchanganye na kukufanya ukose machaguo na kujiendea endea tu, utapoteza muda coz no coincidence in this world.
Kwahiyo hata hayo matokeo yako hayajaja tu kibahati mbaya there is a reason behind all that, kwahiyo ng'ang'ana na urudishe akili yako kwenye lengo lako la awali na kama umesoma miaka yote huna malengo basi hiyo pesa ya ada nenda kafanye issue zingine tu.
UmetishaaMzee Diploma huko kuna watu walipiga vijiti na wakayoka na GPA mbovu na kuna walikua na matokeo ya kawaida wakapiga vibanda...hiyo ni level nyingine ya elimu mzee wote mnaanza moja.