Bata Boy Official
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 259
- 309
kumbe aiseeUganda mzunguko wa pesa upo ila pesa yao ipo chini uwe mvumilivu Tu maana laki ya Uganda ni 62000 ya Tz
[emoji16][emoji16][emoji2357]Usienda Kenya.
WANAUHABA WA MAHINDI.
PambanaZaidi/CottonandMore
Exchange rate sio kitu.Uganda mzunguko wa pesa upo ila pesa yao ipo chini uwe mvumilivu Tu maana laki ya Uganda ni 62000 ya Tz
Shukrani kwa ushauriNenda Uganda, ni wakarimu sana.
Iyo Fort potal kuna wabongo wenzetu wengi sio?As long as haupo kwenu, Hakuna atakae kuonyesha ukarimu na utu nje.
Ila naona Uganda kupo poa hususani Fort potal ambako nilikaa kitambo sana japokua pesa yao iko chini.
Shukrani kwa ushauri mkuuNenda Uganda.
Kupata experience na exposure tu mkuu, japokuwa najua kabisa hakuna kama bongoKenya itoe kabisa hapo,alafu why uende hizo nchi wakati TZ ina mikoa mingi ya kujitafuta na ukajipata?.
Mwanza,Mbeya,Moro,Rukwa,Chuga,Kahama n,k