Niende VETA Au nifanye ujasiriamali?

Niende VETA Au nifanye ujasiriamali?

Agustini john

Member
Joined
Aug 9, 2014
Posts
29
Reaction score
3
Wakumbwa naomba ushauri wenu kama niende kusomea electronic veta au nifanye biasha or ujasiri amari naomba ushauri wenu
 
Nenda veta ukitoka fanya ujasiriamali tena ukichanganya na taaluma yako mambo mswano mdogo wangu
 
Wakumbwa naomba ushauri wenu kama niende kusomea electronic veta au nifanye biasha or ujasiri amari naomba ushauri wenu

Wewe hiyo kwani elimu hata ujinga hujatoa bado.Mkuu rudi shule ukatoe ujinga upate hata degree moja ndio uje hapa
 
Ujasiriamali gani sasa! Nenda tu Veta au garage.
 
Augustini john ,mimi nakushauri ufanye biashara,na uhakikishe unajifunza namna ya kusimamia miradi na kuchukua hatua.
Biashara Inalipa zaidi,kuliko kusoma ufundi na kuajiriwa kwa mishahara ya kitanzania.
all the best.
 
Last edited by a moderator:
Unaweza ukaenda veta kuongeza ujuzi wa kile unachotaka kukifanya then ukajiajiri iwe biashara au service nyinginezo
 
Nenda VETA ili uje ufanye ujasiliamali baadae kwani unakuwa na skills kuhusu cha maana
 
Ukisema unaenda VETA afu ufunge akili kwenye electronics peke yake utakayosoma VETA mambo yatakua magumu sana huko mbele, wanachofundisha pale ni basic stuffs.

Kufanya vitu complex kwa kupitia VETA bila degree ni mziki kwa hiyo inakulimit sana.. Bora uangalie upande wa biashara tu au urudi kusoma ukiwa serious zaidi katika masomo.
 
Hata veta pia ku-fail mtihani kupo, sasa hivi veta wanatumia mtihani wa CBET ambao kama ukipewa maswali matano ili ufaulu unatakiwa kupata 100/100 yaani hutakiwi kukosa hata kijiswali kimoja.

Kama umri na pesa vinaruhusu ni bora urudi shule tu, hicho unachotaka kukisomea veta utaenda kukisomea chuo kikuu tena ukianzia level ya degree au diploma.
 
Back
Top Bottom