Nifah nimekuona uko ' online ' upesi sana tunakuomba majibu yako ya Kutukuka juu ya haya maswali

Hivi hujanuniwa kweli kwa huu Uzi? Na wadada wenzio?

Imebidi nikufuatilie vzr ,nami naungana na wadau walio kumiss

Si bora hata wangenuna wadada basi? Ajabu ‘wanaume’ ndio wamenuna [emoji23][emoji23][emoji23]

Hapo kabla nilikuwa nashangaa inakuwaje mtu anakuwa desperate kuufahamisha umma “Namjua Nifah” n.k
Nilikuwa najiuliza kwani watu huwa wanadhani Nifah sio mtu wa kawaida?
Mwishowe nikawa nacheka tu.

Ila siku hizi nahuzunika,nawaonea huruma maana ni ishara ya maradhi ya akili.
Anyways,hii ndio JF yetu,watu wapo na wendawazimu wapo pia.
 
Nimekuelewa Rafiki
 
Una majibu kuntu ..nmekupenda buree[emoji7]
 
Back
Top Bottom