Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Mkuu umeandika kwa uchungu sana, dada Nifah inabidi akuweke kwenye waiting list asee
 
Kapigwa chini hamna namna, kapigwa chiniii😀😀😀
 
Umeua sana
 
Nitakufukuza huku sasa hivi...

Achana na hayo mambo sweetheart...
Let's wait for new year celebration...
 
Ukisoma comments humu ni kama vile watu wamefurahia hao wawili kuachana.

Hii itapelekea wengine kuogopa kuweka wazi mahusiano yao humu.

Na mnafanya na sisi Wazee wenu tuogope kuwatambulisha Bibi zenu kwa kuogopa mtatuchawia tuje kuachana Uzeeni 😜🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…