Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Shemela si ungekausha tu, HivI vile umekuja na uzi inaonekana anayeumia ni wewe huku mtaalamu bold Yuko katulia zake na manzi mwingine kimya Wala Hana habari.
Sina cha kuniumiza na sijawahi kuumia.

Nina maisha mengine sasa hivi na mpenzi mwingine hapahapa, ulazima ulikuwepo wa kuweka wazi kwamba haya yameisha kabla ya kuonekana na mwingine.
 
Hii taarifa najua ni ya kuhuzunisha ila haya mafataki ya mwaka mpya yanafanya nashindwa kucatch feelingsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Ila mods imagine mtu anatoa taarifa ya kifo halafu ndo haya mafataki yamekakamaaa
Kifo hicho vipi? Hizi ni habari zilizopendwa, za kale 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…