Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
- Thread starter
- #1,061
Sina cha kuniumiza na sijawahi kuumia.Shemela si ungekausha tu, HivI vile umekuja na uzi inaonekana anayeumia ni wewe huku mtaalamu bold Yuko katulia zake na manzi mwingine kimya Wala Hana habari.
Nina maisha mengine sasa hivi na mpenzi mwingine hapahapa, ulazima ulikuwepo wa kuweka wazi kwamba haya yameisha kabla ya kuonekana na mwingine.