Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
Jamani Depal [emoji23][emoji23] mbona hivyo si ungenikanya pm [emoji3525][emoji3525]hao raia si wataamini kweli umenipa limbwata.Wewe umeanza lini mdomo
Na wewe pia rafikiHeri ya mwaka mpya guys
Huyo mdakuzi, sijui mdukuzi ndio Nani??Sema nini, mleta mada akalogwa tu akawaambia wana jimbo limebebwa na nani, utashangazwa sana another episode itakavyokuwa...
Kweli tena??☺️Dr Lizzy Yani unacode nyingi sana za mdada mmoja yupo BOT...
View attachment 2858656
Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenzi…. Ni safari isiyotabirika.
Miaka kadhaa iliyopita nilipata kuingia katika mapenzi yaliyofahamika na wengi hapa jamvini.
Hivyo basi, kwa kuwa mapenzi yale hayapo tena, imeniwia vyema kurudi tena hapa kuweka hilo wazi.
Tulikuwa na malengo ya kufika mbali, lakini kutokana na kutofautiana katika mambo mengi tulishindwa hata kufikia hatua za kuyarasimisha mahusiano yetu kuwa halali.
Tulitengana rasmi mwezi August mwaka huu 2023, na kutokana na hilo pengine huenda yakawa ndio mahusiano yangu ya mwisho kuyaweka wazi.
Mapenzi ya wazi hapa yamenipa wakati mgumu kujibu mamia ya wanachama waliokuwa wakihoji endapo bado tupo pamoja, na ndio sababu kuu naweka uzi huu kuwafahamisha wote kwa pamoja, hatupo tena katika mahusiano.
Tumeachana kwa amani, na kwa dhati kabisa namtakia kheri katika maisha mapya bila ya uwepo wangu kwa aliyekuwa mwenzangu.
Nifah
Yaaani, nakumbuka zile bato humu za zamaniNasema uongo [emoji1783][emoji1783]??? Uzuri weee wamuda humuu hahahaha... tangu enzi hizo watu tunabambaa Humu hahaha..
Haha, Its you vs you in the battle field, mambo ya raia waachie wenyewe..Jamani Depal [emoji23][emoji23] mbona hivyo si ungenikanya pm [emoji3525][emoji3525]hao raia si wataamini kweli umenipa limbwata.
Kweli bato zilianza muda humu kitambo sana watu wanapigwa vitaYaaani, nakumbuka zile bato humu za zamani
Kikubwa ukisha opoa Jimbo jf unalihamisha kwenda uraiani. Utaishi Kwa Amani sana.
Ila kwakweli nimefadhaishwa na huu Uzi. Ila ni muhimu kuheshimu mawazo ya watu.
All the best Nifah