Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Yeah kuhusu kuachana nilikuwa natania tu ila hata mimi sipendi watu waachane kusema kweli, si kila mtu humu ni mchawi wa mahusiano ya watu sisi wengine watu wakipendana hatupungukiwi na chochote hivyo hatuna sababu ya kuchukia, so for the sake of us well wishers do not forget to introduce our shem to usLakini sijasema moja kwa moja kwamba sitoweka wazi, ila tu nasubiri tupige hatua rasmi.
Nitawaambia msijali, na kuachana sahau.