Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Lakini sijasema moja kwa moja kwamba sitoweka wazi, ila tu nasubiri tupige hatua rasmi.
Nitawaambia msijali, na kuachana sahau.
Yeah kuhusu kuachana nilikuwa natania tu ila hata mimi sipendi watu waachane kusema kweli, si kila mtu humu ni mchawi wa mahusiano ya watu sisi wengine watu wakipendana hatupungukiwi na chochote hivyo hatuna sababu ya kuchukia, so for the sake of us well wishers do not forget to introduce our shem to us
 
Kwa kiasi kidogo sana, ila asante.
 
Wakati ukifika nitawatambulisha shemeji yenu mpya, asante.
 
Sina cha kuniumiza na sijawahi kuumia.

Nina maisha mengine sasa hivi na mpenzi mwingine hapahapa, ulazima ulikuwepo wa kuweka wazi kwamba haya yameisha kabla ya kuonekana na mwingine.
Nami nakaribishwa kutuma maombi niweke backup generator in case huyo akizingua naingiza Miguu au unasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…