King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 1,399
- 2,110
Una share hiyo pussy yake?Acha umalaya
Na kwako pia mkuu, sisi hatujambo kabisaWewe ni mtu mwema sana, mimi naamini.
Asante na kheri ya mwaka mpya kwako na familia.
Nikupe siri ya kiumeni.Mimi ndio nimetoka huko sasa, nimempata wa kufanana nae na ananiongoza vyema mnooo!
Nyie mpaka napagawa nilichelewa wapi? 🤣
Uongo mtupu.Nikupe siri ya kiumeni.
Mwanaume akijua unamzimia kupita kiasi utapata tabu sana.
Nifah una safari ngumu mbeleni jipange
Unawakosea Sana dada zetu, huu siyo ustaarabu.Uthibitisho mwingine kuwa single maza hawaoleki, hata twiga ni warembo mno mbugani ila hawafugiki.
[emoji1787][emoji1787]maua kuchapia kwake kawaidaAndika vizuri basi maua au una vitu kichwani?
Kwakweli niffa ni mrembo we dada na unafaa kuwekwa ndani na kuhudumia ila mm siwezi hata kukuapproach maana kila nikiona comments zako nakumbuka jangid plaza, Ontario na team yako mlijua kutunyoosha mbwa nyie...!View attachment 2858656
Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenzi…. Ni safari isiyotabirika.
Miaka kadhaa iliyopita nilipata kuingia katika mapenzi yaliyofahamika na wengi hapa jamvini.
Hivyo basi, kwa kuwa mapenzi yale hayapo tena, imeniwia vyema kurudi tena hapa kuweka hilo wazi.
Tulikuwa na malengo ya kufika mbali, lakini kutokana na kutofautiana katika mambo mengi tulishindwa hata kufikia hatua za kuyarasimisha mahusiano yetu kuwa halali.
Tulitengana rasmi mwezi August mwaka huu 2023, na kutokana na hilo pengine huenda yakawa ndio mahusiano yangu ya mwisho kuyaweka wazi.
Mapenzi ya wazi hapa yamenipa wakati mgumu kujibu mamia ya wanachama waliokuwa wakihoji endapo bado tupo pamoja, na ndio sababu kuu naweka uzi huu kuwafahamisha wote kwa pamoja, hatupo tena katika mahusiano.
Tumeachana kwa amani, na kwa dhati kabisa namtakia kheri katika maisha mapya bila ya uwepo wangu kwa aliyekuwa mwenzangu.
Nifah
Mlikuwa wajinga wajinga tu, mlijua mtapewa pesa za bure, poor Tanzanians..kwa kirengesa.Kwakweli niffa ni mrembo we dada na unafaa kuwekwa ndani na kuhudumia ila mm siwezi hata kukuapproach maana kila nikiona comments zako nakumbuka jangid plaza, Ontario na team yako mlijua kutunyoosha mbwa nyie...!
Mbona umekuwa mstaarabu ghafla kulikoni mwambaUnawakosea Sana dada zetu, huu siyo ustaarabu.
[emoji38][emoji38][emoji38]Mlikuwa wajinga wajinga tu, mlijua mtapewa pesa za bure, poor Tanzanians..kwa kirengesa.
Hata hivyo mlijinyoosha wenyewe Ontario hana hatia mlilipia ujinga wenu
Wewe kwako unaona ni Sawa?Mbona umekuwa mstaarabu ghafla kulikoni mwamba