Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Mamy K nakuuliza kwa mara nyingine, wewe ni Muislamu? Naomba uje na dalili inayoruhusu bint wa kiislamu kuolewa na asie Muislamu!
Mbona huyo muislam hakumuoa all those years? Kasome tena Ile hadith....kwenye vigezo vya ndoa mwanaume aangaliwe tabia yake, sio kisa dini yake muislamu au anaswali sana....Kwa mwanamke ndo aangaliwe dini Kwa sababu mwanamke hana tabia, tabia ataikuta Kwa mumewe.

And who knows, labda kupitia Nifah huyu mpya ataiona nuru na kuwa muislam? Doni pekee haitoshi kwenye ndoa, tabia kwanza
 
View attachment 2858656

Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenzi…. Ni safari isiyotabirika.

Miaka kadhaa iliyopita nilipata kuingia katika mahusiano yaliyofahamika na wengi hapa jamvini.
Hivyo basi, kwa kuwa mahusiano yale hayapo tena, imeniwia vyema kurudi tena hapa kuweka hilo wazi.

Tulikuwa na malengo ya kufika mbali, lakini kutokana na kutofautiana katika mambo mengi tulishindwa hata kufikia hatua za kuyarasimisha mahusiano yetu kuwa halali.

Tulitengana rasmi mwezi August mwaka huu 2023, na kutokana na hilo pengine huenda yakawa ndio mahusiano yangu ya mwisho kuyaweka wazi.

Mahusiano ya wazi hapa yamenipa wakati mgumu kujibu mamia ya wanachama waliokuwa wakihoji endapo bado tupo pamoja, na ndio sababu kuu naweka uzi huu kuwafahamisha wote kwa pamoja, hatupo tena katika mahusiano.

Tumeachana kwa amani, na kwa dhati kabisa namtakia kheri katika safari ya maisha yake mapya bila ya uwepo wangu kwa aliyekuwa mwenzangu.

Nifah
Daaaah jamani,...Jamaa alikuwa anafaidi mtoto mzuri wewe😋
 
Kwahiyo ule Uzi kutoka Japan na China unaowaunganisha kwenye viwiko na kidole Cha mwisho umekatika rasmi?....So sad, haikuwa riziki yenu, endeleeni kuchagua chagua humu majukwaani, pengine this time mtapata.
 
Mbona mimi nimecopy mahusiano yako na nitafika tu😄
Tena Mimi ukinikopi ndio lazima nikupoteze....maana ukituangalia kwambali utahisi kama tumekasirikiana, ila ukifika karibu ndio unagundua ni kweli tumekasirikiana, hadi Kila mmoja kang'ata meno 😅
 
Mbona huyo muislam hakumuoa all those years? Kasome tena Ile hadith....kwenye vigezo vya ndoa mwanaume aangaliwe tabia yake, sio kisa dini yake muislamu au anaswali sana....Kwa mwanamke ndo aangaliwe dini Kwa sababu mwanamke hana tabia, tabia ataikuta Kwa mumewe.

And who knows, labda kupitia Nifah huyu mpya ataiona nuru na kuwa muislam? Doni pekee haitoshi kwenye ndoa, tabia kwanza

Kuna clip nimeweka hapo juu, sijui kama umeipitia, kutoka kwa Sheikh shaaban albattashy wa ibaadh, kutoka Zanzibar, naomba uisikilize kwa umakini clip hiyo upate kujua.

View: https://youtu.be/L5yuw64T6Ys?si=37ZS-GzXiWoGEPsL
👆🏻
 
Mbona huyo muislam hakumuoa all those years? Kasome tena Ile hadith....kwenye vigezo vya ndoa mwanaume aangaliwe tabia yake, sio kisa dini yake muislamu au anaswali sana....Kwa mwanamke ndo aangaliwe dini Kwa sababu mwanamke hana tabia, tabia ataikuta Kwa mumewe.

And who knows, labda kupitia Nifah huyu mpya ataiona nuru na kuwa muislam? Doni pekee haitoshi kwenye ndoa, tabia kwanza
Namie nataka
 
View attachment 2858656

Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenzi…. Ni safari isiyotabirika.

Miaka kadhaa iliyopita nilipata kuingia katika mahusiano yaliyofahamika na wengi hapa jamvini.
Hivyo basi, kwa kuwa mahusiano yale hayapo tena, imeniwia vyema kurudi tena hapa kuweka hilo wazi.

Tulikuwa na malengo ya kufika mbali, lakini kutokana na kutofautiana katika mambo mengi tulishindwa hata kufikia hatua za kuyarasimisha mahusiano yetu kuwa halali.

Tulitengana rasmi mwezi August mwaka huu 2023, na kutokana na hilo pengine huenda yakawa ndio mahusiano yangu ya mwisho kuyaweka wazi.

Mahusiano ya wazi hapa yamenipa wakati mgumu kujibu mamia ya wanachama waliokuwa wakihoji endapo bado tupo pamoja, na ndio sababu kuu naweka uzi huu kuwafahamisha wote kwa pamoja, hatupo tena katika mahusiano.

Tumeachana kwa amani, na kwa dhati kabisa namtakia kheri katika safari ya maisha yake mapya bila ya uwepo wangu kwa aliyekuwa mwenzangu.

Nifah
Seen.
 
Hivi na wale CC wapo wapo au ndo mtaachana tu[emoji1][emoji1].mdomo komaa.
Ujue mwanaume kusutwa haipendezi[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Back
Top Bottom