Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nasubiri HABIBU B. ANGA aka the bold afungue riwaya
Tumchagulie heading 😀😀😀

"MREMBO KUTOKA TANZANIA :YALIYOMO YAMO "
Hebu wekeni heading wakuu
 
Mnajifunzia online? 😅😅 Kama kuna kitu ni ngumu kucopy kwa wengine, basi ni mahusiano. Kwenye hii game Kila mtu anababuliwa kivyake
Na kila mtu na mbabuko wake...wengine wanababuka mpk hawaeleweki kuna wengine mbabuko unawapendeza... 😊 🤣 🤣
 
Beshte acha umbea... [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] siku hizi jukwaani sikuoni naona umeleft..umehamia huku
Heri ya Mwaka Mpya 2024 kwanza Beshte....

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jukwaani kule nipo kipenzi...
Nilikuwa tight tu na 'Dizemba'..Sasa nimerudi....
 
Karibu sana beshte vijana wa Generali Benchika wanaleta matumaini...
Heri ya mwaka mpya nawe piaaa..
Let 2024 be awesome
 
Kuna muda unaamua kumuacha tu sio kwamba umemchoka-HAPANA.

Ni katika harakati za kuipumzisha akili tu..🙆‍♂️
Long live Nifah...
Long live Habibu Anga
 
View attachment 2858656

Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenzi…. Ni safari isiyotabirika.

Miaka kadhaa iliyopita nilipata kuingia katika mahusiano yaliyofahamika na wengi hapa jamvini.
Hivyo basi, kwa kuwa mahusiano yale hayapo tena, imeniwia vyema kurudi tena hapa kuweka hilo wazi.

Tulikuwa na malengo ya kufika mbali, lakini kutokana na kutofautiana katika mambo mengi tulishindwa hata kufikia hatua za kuyarasimisha mahusiano yetu kuwa halali.

Tulitengana rasmi mwezi August mwaka huu 2023, na kutokana na hilo pengine huenda yakawa ndio mahusiano yangu ya mwisho kuyaweka wazi.

Mahusiano ya wazi hapa yamenipa wakati mgumu kujibu mamia ya wanachama waliokuwa wakihoji endapo bado tupo pamoja, na ndio sababu kuu naweka uzi huu kuwafahamisha wote kwa pamoja, hatupo tena katika mahusiano.

Tumeachana kwa amani, na kwa dhati kabisa namtakia kheri katika safari ya maisha yake mapya bila ya uwepo wangu kwa aliyekuwa mwenzangu.

Nifah
Mlepeana vikojoleo?
 
Uliona mbali sana maana kala mpaka elfu 60 ya Muha wa Kigoma
 
Back
Top Bottom