Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Kwanza ujasiri huu wa kuweka mahusiano Yao wazi wanatoaga wapi,Sijawahi kuamini kama ukiwa na mahusiano na mtu ni lazima muonyeshe watu Kuwa mnapendana
Sema mdogo wangu...mje mfundwe na dada zenu
 
Thanks

Siwezi kusema tofauti na nilichokisema hapa, wengi wamenitafuta kwa kila namna ila nimeshikilia msimamo huuhuu.

Mapenzi yakiisha sio vita, ni vyema kuheshimu zile nyakati nzuri na kusonga mbele kwa amani.
Perfect bby
 
Nifah your brain work is next level. Salute!

Ninayo Imani ya kutosha kuamini kuwa msingi wa mgogoro ama tofauti za penzi lenu ni penzi lenu wenyewe. Kimombo niseme: methodological implementation and presentation of your love life. Hili ni hitimisho nimeikia baada ya kusoma maandiko yako kwenye sakata hili.

Imani yangu kwenu ni kuwa ikitokea mkaketi chini na kuamua kutanzua tofauti hizo, ikiwapendeza msione shida kupandisha daraja mahusiano yenu. Maana mnachopitia wakati huu ni misukosuko wa kawaida kabisa kwenye maisha ya mapenzi na mahusiano.

Hivyo wala usiwaze sana, wala usiumie moyo sana. Maana that's how the love pendulum swing on its axis

Best wishes
Waswahili tunasema ndo ladha ya mapenzi
 
Si ndiyo...

Kuna hilo Husiano moja lilikuwaga humu[emoji1]Enzi hizo Bidada kila sehemu ni kumtaja jamaa...

Jamaa akija ana'like tu.. hajibu wala nini...Ni kama jamaa alikuwa hapendi ile kitu..

Sasa hivi sijui hata lilishiaga wapi[emoji1]
Beshte acha umbea... 🤣 🤣 🤣 siku hizi jukwaani sikuoni naona umeleft..umehamia huku
 
Nimesoma huu uzi..nimeshangaa wadada wa JF wana mambo jamani... 🤣 kati kati ya uzi kuna vichambo vya hatari sio poa...yani vichambo havihusiani na uzi 🤣🤣 ila daaah...nawapa pole wale wote wanaotegemea kupata wake na waume humu...labda kwa neema ya Mungu mtafanikiwa...
 
Mnapendana? Nae akae 4 years bila ndoa akuachie tu zawadi ya kua single maza

Uwe single maza kwa wanaume wawili?
Labda kama wewe ndo una matatizo wanashindwa kukuoa

lkn kama upo sawa, 2024 usiishe bila ndoa cz mnazeeka 30's hamna utoto wakuganda kwenye uchumba

Wewe ni mzuri sanaaaa, nilivyokuona hadi mimi nilichanganyikiwa sembuse mwanaume.

NB: Sijawahi kuolewa, Sio mshauri wa Ndoa.
Mhhhh
 
Back
Top Bottom