Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

View attachment 2858656

Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenzi…. Ni safari isiyotabirika.

Miaka kadhaa iliyopita nilipata kuingia katika mahusiano yaliyofahamika na wengi hapa jamvini.
Hivyo basi, kwa kuwa mahusiano yale hayapo tena, imeniwia vyema kurudi tena hapa kuweka hilo wazi.

Tulikuwa na malengo ya kufika mbali, lakini kutokana na kutofautiana katika mambo mengi tulishindwa hata kufikia hatua za kuyarasimisha mahusiano yetu kuwa halali.

Tulitengana rasmi mwezi August mwaka huu 2023, na kutokana na hilo pengine huenda yakawa ndio mahusiano yangu ya mwisho kuyaweka wazi.

Mahusiano ya wazi hapa yamenipa wakati mgumu kujibu mamia ya wanachama waliokuwa wakihoji endapo bado tupo pamoja, na ndio sababu kuu naweka uzi huu kuwafahamisha wote kwa pamoja, hatupo tena katika mahusiano.

Tumeachana kwa amani, na kwa dhati kabisa namtakia kheri katika safari ya maisha yake mapya bila ya uwepo wangu kwa aliyekuwa mwenzangu.

Nifah
Did he hit the interior ?
 
Sikumuonja ndo kosa nilifanyaπŸƒ
Kwahiyo sijui km kweli hawapigi dekiπŸ˜…πŸ™„
Umalaya,wengi wao yes!
Halafu nilihisi atakua kagnga gonga humu kimya kimya
Hakuna demu anachomoa pale,Tena zamani walikuwa na party za kuonana ,mmmhπŸ™ŒπŸ€£πŸ™ŒπŸ˜…πŸ™„
Duuh
 
Halafu ss sikujua km kanieoewa au vipi nikawa naogopa, akinipa huyu nitaumia sbb nampenda!

Nikaamua nisimpe,Bora niumie sijampa kuliko niumie Kwa vyote ,kumpa na kuachwa🀣🀣🀣

Halafu Sina hakika km kaoa maana sioni ht dalili labda km kaamua kutoweka mambo yake kwenye Mitandao, ngoja nimchekiπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸ˜‚πŸ˜‚
Nikiweka πŸ†” yake hapa utashangaa sn,sahivi hayupo active sn km zamani ila yupo
Duuh
 
View attachment 2858656

Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenzi…. Ni safari isiyotabirika.

Miaka kadhaa iliyopita nilipata kuingia katika mahusiano yaliyofahamika na wengi hapa jamvini.
Hivyo basi, kwa kuwa mahusiano yale hayapo tena, imeniwia vyema kurudi tena hapa kuweka hilo wazi.

Tulikuwa na malengo ya kufika mbali, lakini kutokana na kutofautiana katika mambo mengi tulishindwa hata kufikia hatua za kuyarasimisha mahusiano yetu kuwa halali.

Tulitengana rasmi mwezi August mwaka huu 2023, na kutokana na hilo pengine huenda yakawa ndio mahusiano yangu ya mwisho kuyaweka wazi.

Mahusiano ya wazi hapa yamenipa wakati mgumu kujibu mamia ya wanachama waliokuwa wakihoji endapo bado tupo pamoja, na ndio sababu kuu naweka uzi huu kuwafahamisha wote kwa pamoja, hatupo tena katika mahusiano.

Tumeachana kwa amani, na kwa dhati kabisa namtakia kheri katika safari ya maisha yake mapya bila ya uwepo wangu kwa aliyekuwa mwenzangu.

Nifah
Dada🀭
 
Pole sana lakini mshukuru Mungu kwakuwa hujui amekuepusha na jambo gani, wakati na mapenzi yake vikifika mema yatatendeka
 
HE
FB_IMG_1735673879563.jpg
 
Back
Top Bottom