Nifah ukimchoka Bold uje kwangu

Nifah ukimchoka Bold uje kwangu

The Genius

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Posts
822
Reaction score
2,095
"Moja kati ya Couple maarafu sana humu JF ni hii ya The Bold na Nifah.

Kwakweli kwa jinsi nilivyopitia baadhi ya post na comment za Nifah,huyu mtoto inaonekana anajua sana kudeka,mapenzi na caring ya hali ya juu.Inshort Habibu B. Anga anafaidi sana.Sasa Kwanini na mimi nisifaidi walau siku moja!

Rai yangu kwao ni moja tu, huwa najua hakuna marefu yasiyo na ncha, mabaharia huwa tupo pembeni kutega mingo.

Bold siku ukimchoka Nifah , mlete kwangu, nitampokea.Walau na mimi nifaidi mema ya nchi.Kizuri kula na mwenzako bwana."
................

Alisikika Mlevi mmoja


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nazidi kuomba wasikuchoke madame, hahaha..huyu jamaa anatamani watu wachokane ili waachane. Hivi hii ni chitchat sio!!
😂😂😂😂mie mwenyewe sitak kumlchoka kabisaaa, inaitwa roho mbaya hio kuombea wenzio wachokane
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mie mwenyewe sitak kumlchoka kabisaaa, inaitwa roho mbaya hio kuombea wenzio wachokane
Kabisa, ni roho mbaya na haijengi. Tunawaombea wote waliopo katika mahusiano/ndoa wadumu wasiachane kamwe...
 
Back
Top Bottom