Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah...kumbe anayemfanya awepo humu ni The BoldNakumbuka alisema hawezi kuendelea humu ikiwa mr wake yupo banned.....so the bold akirudi na bibie nae tutakuwa nae humu,
NimewaMiss kwakwer hata mm....ila ndo hvyo uongozi ss umeamua.
Dah....[emoji87]Naulizia tu kuwa amepotelea wapi huyu mwanaJF mwenzetu?
ingelikuwa melo hawapendi watu wanaotumia mtandao wake angelitoa majina ya wale waliotakiwa na data zote lkn akakubali kulala lupango kisa watu wachache! huenda bado mimi ni kipofu.. lkn hata hivyo ukikubali kutumia mtandao fulani si umekubali kufata vigezo na masharti..
Nina bahati kusoma Lisa cha Nifah kutoonekana jukwaani.. As you said.. Comment zako zote ulizoelezea kisa chao zimepigwa chini...[emoji19]Ni kweli mkuu,.
Ila baadhi ya watu humo uongozini hawatendi haki
Nina bahati kusoma Lisa cha Nifah kutoonekana jukwaani.. As you said.. Comment zako zote ulizoelezea kisa chao zimepigwa chini...[emoji19]
Sent using Jamii Forums mobile app