wa baha ela
Member
- Jan 20, 2013
- 37
- 5
Denda ni salama pale tu midomo ya wadendanaji ipo salama, yaani hakuna michubuko wala abnomality yoyote. Vinginevyo usalama hakuna.Ndiyo mkuu, denda ni salama.
Denda ni salama pale tu midomo ya wadendanaji ipo salama, yaani hakuna michubuko wala abnomality yoyote. Vinginevyo usalama hakuna.
Tafiti zinasema kupitia denda upo uwezekano wa kuambukizana ukimwi, lakini uwezekano huo unakuja pale ambapo mmedendana mfululizo kufikia kubadilishana denda kiasi cha lita 5.

Denda ni salama kama hamna vidonda kwenye mdomo na msitumie meno mkaumana maana damu zikigusana ndipo maambukizi yanapotokea!Je denda ni salama linapokuja suala la kuambukizana maradhi hasa UKIMWI... Tumepima na tunatumia kondom lakini tunaishi mikoa tofauti na huonana baada ya miezi miwili... Wasiwasi wangu ni denda. je ni salama?
Denda ni salama pale tu midomo ya wadendanaji ipo salama, yaani hakuna michubuko wala abnomality yoyote. Vinginevyo usalama hakuna.
Tafiti zinasema kupitia denda upo uwezekano wa kuambukizana ukimwi, lakini uwezekano huo unakuja pale ambapo mmedendana mfululizo kufikia kubadilishana denda kiasi cha lita 5.
am not online
sina hakika sana na hilo kama ni salama lakini nijuavyo ni risk ingawa mimi denda siiamin pia zaidi nahisi ni propagana za wazungu kurubuni zaidi labda jiulize kitu kimoja kwa nn unaambiwa ukiupata utaweza kupata majibu ya uhakika ndani ya miezi mitatu lakini wewe unaweza kuambukiza mwenzio baada ya masaa machache tu baada ya wewe kuupata? na hata hao wanao sema mate lita tano hayo maelezo wameyatoa kwa hao hao wazungu so wakati mwingine changanya na zakwako kwamba kwanini kuna kipimo kinaitwa ORALQUICK HIV TEST? labda kwa kukusaidia zaid soma hapa http://testkitsathome.com/instant-hiv-saliva-test.aspx?gclid=CIuPqIDG2LoCFcR7Qgod4QIAcw halafu ufanye tathimin na hizo propaganda za hao wanao sema mate lita tano wakati wenzetu wanatumia kipimo hicho sasa kinapima nini wakati kinywa ni salama ?? nafikiri kuna maswali mengi ya kujiuliza hapa mkuu hawa wazungu hawana jema na sisi coz hata madocta wetu wana paste kutoka kwao so inawezekana nao wakaaminishwa uongo.Je denda ni salama linapokuja suala la kuambukizana maradhi hasa UKIMWI... Tumepima na tunatumia kondom lakini tunaishi mikoa tofauti na huonana baada ya miezi miwili... Wasiwasi wangu ni denda. je ni salama?
ukimwi ni nini?
upungufu wa kinga mwilini
Sawa mkuu, isipokuwa huwezi kupata ukimwi kwa kunyonyana denda na mtu mwingine.
sina hakika sana na hilo kama ni salama lakini nijuavyo ni risk ingawa mimi denda siiamin pia zaidi nahisi ni propagana za wazungu kurubuni zaidi labda jiulize kitu kimoja kwa nn unaambiwa ukiupata utaweza kupata majibu ya uhakika ndani ya miezi mitatu lakini wewe unaweza kuambukiza mwenzio baada ya masaa machache tu baada ya wewe kuupata? na hata hao wanao sema mate lita tano hayo maelezo wameyatoa kwa hao hao wazungu so wakati mwingine changanya na zakwako kwamba kwanini kuna kipimo kinaitwa ORALQUICK HIV TEST? labda kwa kukusaidia zaid soma hapa http://testkitsathome.com/instant-hiv-saliva-test.aspx?gclid=CIuPqIDG2LoCFcR7Qgod4QIAcw halafu ufanye tathimin na hizo propaganda za hao wanao sema mate lita tano wakati wenzetu wanatumia kipimo hicho sasa kinapima nini wakati kinywa ni salama ?? nafikiri kuna maswali mengi ya kujiuliza hapa mkuu hawa wazungu hawana jema na sisi coz hata madocta wetu wana paste kutoka kwao so inawezekana nao wakaaminishwa uongo.
Denda ni salama pale tu midomo ya wadendanaji ipo salama, yaani hakuna michubuko wala abnomality yoyote. Vinginevyo usalama hakuna.
Tafiti zinasema kupitia denda upo uwezekano wa kuambukizana ukimwi, lakini uwezekano huo unakuja pale ambapo mmedendana mfululizo kufikia kubadilishana denda kiasi cha lita 5.
Usihofu. Endelea tu kwa raha zako.Asante,, sikulijua hili.
mkuu kwenye kemia kuna vitu wanaita reagent, kumbuka mambo ya litmas paper, kwenye base na acid n.k. sio lazima virusi vikae kwenye mate ndio vipimwe, bali inawezekana mwenye hiv mate yanareact tofauti na reagent husika ukilinganisha na yule aliye hiv free.sina hakika sana na hilo kama ni salama lakini nijuavyo ni risk ingawa mimi denda siiamin pia zaidi nahisi ni propagana za wazungu kurubuni zaidi labda jiulize kitu kimoja kwa nn unaambiwa ukiupata utaweza kupata majibu ya uhakika ndani ya miezi mitatu lakini wewe unaweza kuambukiza mwenzio baada ya masaa machache tu baada ya wewe kuupata? na hata hao wanao sema mate lita tano hayo maelezo wameyatoa kwa hao hao wazungu so wakati mwingine changanya na zakwako kwamba kwanini kuna kipimo kinaitwa ORALQUICK HIV TEST? labda kwa kukusaidia zaid soma hapa http://testkitsathome.com/instant-hiv-saliva-test.aspx?gclid=CIuPqIDG2LoCFcR7Qgod4QIAcw halafu ufanye tathimin na hizo propaganda za hao wanao sema mate lita tano wakati wenzetu wanatumia kipimo hicho sasa kinapima nini wakati kinywa ni salama ?? nafikiri kuna maswali mengi ya kujiuliza hapa mkuu hawa wazungu hawana jema na sisi coz hata madocta wetu wana paste kutoka kwao so inawezekana nao wakaaminishwa uongo.