Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 993
mkuu kwenye kemia kuna vitu wanaita reagent, kumbuka mambo ya litmas paper, kwenye base na acid n.k. sio lazima virusi vikae kwenye mate ndio vipimwe, bali inawezekana mwenye hiv mate yanareact tofauti na reagent husika ukilinganisha na yule aliye hiv free.
na kipimo hicho kinaweza kuwa ni kiashiria cha mwenye hiv bila kugusia virusi kuwepo kwenye mate per se.
uchanganyaji wa reagent unaweza kupelekea mabadiliko ya rangi ya mate na kuelezea kuwa mwenye mabadilikohaya akawa na virusi kulingana na tabia za virusi kuathiri mfumo unaotengeneza mate tena pengine bila hivyo virusi kukaa kwenye mate. ma-daktari wetu wanaweza ku-paste nje lakini wakawa sahihi pia. ni kama kupima ujauzito kwa kutumia mkoja, hapa wanapima mkojo lakini reaction yake (albumin) inatoa ishara kuwa mama ni mjamzito, hivyo hatuwezi kusema mimba inakaa kwenye kibofu. nadhani nitakuwa nimejitahidi kuelezea kwa kiasi, i hope kuna wataalam wengine wako field hii watajibu kiufasha kabisa.
kwa mujibu wa elimu yangu ya kidokta tuliambiwa virusi vinaweza kuwepo kwenye mate pia.
mfano wa magonjwa kama foot and mouth disease(FMD).
stop worrying and start living
Mliambiwa tu, lakini je na nyie mlifanya lolote kuhakikisha hivyo? au mlivyoambiwa tu basi nyie mkaiwekea tiki.